Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Una umri gani na umeanza kufuatilia mziki lini?Wanabaniwa au hawana kazi za kuwafanya wapate show? Hivi hao akina Stereo na Chiny beez wana hits gani??
Elewa mada..nimesema wasanii nje ya wao wenyewe..kwanini hawajasajiri wasanii wa kueleweka? Kwann waokoteze wasanii?Aaaah ina maana wasanii wa wasafi wenyewe hujawaona?
Dudubaya akiimba nyimbo zake za enzi zile unafikiri hato amsha amsha?
Wewe unasema kawaokota lakini wanaoenda wanawasubiri kwa hamu.Elewa mada..nimesema wasanii nje ya wao wenyewe..kwanini hawajasajiri wasanii wa kueleweka? Kwann waokoteze wasanii?
Usilazimishe usichokipenda wewe na wengine wasikipende. Wapo wanaomsubiri kwa hamuHuwezi kuwa sirias...mtu akae anamsubiri kwa hamu Stereo?
Wanabaniwa au hawana kazi za kuwafanya wapate show? Hivi hao akina Stereo na Chiny beez wana hits gani??
Mkuu unaamini watu wanabaniwa...ukiwa na kazi nzuri sokoni kila mtu atataka afanye kazi na ww!!Leo umesikia list ya Cloud? Kuna akina mandojo/soggy hilo ndo lilikuwa lengo la Diamond( wale wasanii ambao walikuwa hawathaninik na wao waanze kuthaminiwa hayo ndo mapinduzi ndg maana Clods ilikuwa inabagua sana wasanii wakat wote wanapambana wapate mkate but kupitia Mond wamezinduka mpk wameanza kitafuta wale ambao huwa hawapati shoo)
Mbona umekazania mtoto wa juzi...unataka kusema hao akina stereo wameanza kuimba lini?? Walikuwepo Early 2000 hao?Bila shaka wewe ni mtoto wa juzi so kwa akili yako unataka uletewe Mabantu/Jaymelod na Whozu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda Fiesta dogo
FIESTA kwa sasa haina mvuto sababu kwanza wasanii wakubwa wa Tanzania hawataperform Alikiba Diamond Vanessa Navy Kenzo la pili FIESTA ilikuwa zamani mnasikilizia nani msanii Mkubwa anakuja mnafuatilia toka Marekani na walivyokuwa wajanja akija wanamweka mwishoni Mara nyingi FIESTA ilikuwa watu wanafuatilia hilo ila sasa Bongo flavour ipo ipo na mbaya zaidi wasanii wa sasa watakaoperform hawana mashabiki wengi kabisa hvyo watu watabaki Kahama(kiba) Na Mtwara(diamond) ambako zamani watu walikuwa wanasafiri kwa ajili ya FIESTA hvyo next time Clouds wajipange kuleta msanii mwenye mashabiki na watu wanahamu ya kumuona imagine clouds wangemleta labda Drake au Lilwayne (mfano)ingekuwajeLeo umesikia list ya Cloud? Kuna akina mandojo/soggy hilo ndo lilikuwa lengo la Diamond( wale wasanii ambao walikuwa hawathaninik na wao waanze kuthaminiwa hayo ndo mapinduzi ndg maana Clods ilikuwa inabagua sana wasanii wakat wote wanapambana wapate mkate but kupitia Mond wamezinduka mpk wameanza kitafuta wale ambao huwa hawapati shoo)
Kwanini kila mtuu asiandae? Kama inaingiza mkwanja why not??Mimi ni shabiki tu, wala sio promoter na siimbi...
Unataka kila mtu aandae tamasha??
We unazani unachokipenda wewe basi watu wote wanakipenda,just wait baada ya Jumamosi ndio utajua balaa likuwaje,mbona hujawazungumzia ndugu zako kumwita Bwana Misosi na Mandojo ambao watu washasahau.Wanabaniwa au hawana kazi za kuwafanya wapate show? Hivi hao akina Stereo na Chiny beez wana hits gani??