Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

Hujui mziki umekaa kishabiki,mimi hawa jamaa "One,Stereo,Uno" ni best MC tatizo nyie ndio wale mliofuata mkumbo hip hop haiuzi,hata nikuambia hiti zao huwezi jua,ila si tunao wafuatilia tunawajua
Mwambie huyo choko hamjui UNJU! Wamezoea ngoma zao za kina bob junia chokret fleva ila zile ngumu za Duke Touchez hazipewagi promo mziki wao wataujuaje!
 
Ikibidi hata jamaa watumie hit song zao za zamani wapate kupiga hela waboreshe maisha yao kuendana na hali ya sasa!
 

Mimi pia na UGUMU wangu wote huu nimeanza wafatilia taratibu hawa vijana wa wasafi, lakini usishangae sana ndiyo utofauti wetu binadamu

Hawa wana Hip Hop wanasikilizwa na watu wenye uwezo mkubwa tofauti na watu wengine
 
Mimi pia na UGUMU wangu wote huu nimeanza wafatilia taratibu hawa vijana wa wasafi, lakini usishangae sana ndiyo utofauti wetu binadamu

Hawa wana Hip Hop wanasikilizwa na watu wenye uwezo mkubwa tofauti na watu wengine
I used to be a valid hater wa Wasafi, i was a trully a HipHop fan hasa copy za Nako 2 Nako, Joh makini,Fid Q, JCB, Prof J, Wanaume TMK ,Juma nature, Wachuja Nafaka, Inspector, Mangwair nikaja kwa akina Lunduno ila hawa jamaa wasafi walikuja kufunika ombwe la HipHop kwa kulazimisha mziki wao kwenda mainstream na wakaungwa mkono sana hatimae kila upande ni Wasafi! It was too hard for me to still hate nikaamua kukubaliana na hali halisi kwamba sasa muziki ni wa Wasafi sasa! Hata nikinuna ndio ukweli na kadri nilivyokuwa nasikia nyimbo zao kila saa ikatokea nimezoea tu sahivi, wakitoa hit naskiliza tu!

Ila kwa hili wanaloenda kufanya nimefurahi sana, kama washatoboa kimuziki ni wasaa wa kuwakumbuka wengine ambao wanafanya mziki tofauti na wao ili kuleta balance maana for consecutive 9 years toka 2009 kwa mtazamo wangu ile hiphop halisi iliacha kusikika rasmi hata wale wasanii wa HipHop wengine waka diversify na kuanza kuimba vitu commercial havina mashiko tena, Madee,Joh Makini wote wanazingua tu sahivi ila ni kutokana na market forces ku favor mziki wa bigjii! Wacha tuone impact ya Wasafi ikoje maana ndo wana control game la muziki now! Hata waimbe nyimbo ya taarabu watapiga hela tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stereo ndo anahit kidogoo ilaa wengi hawana hit songs.. Hawawezi kuuimbisha umaa
Ila ndiyo uhuru ulivyo kila mtu akijisihisi anaweza kuandika mada anaandika tu.
Atakama hajui lolote kuhusu hiyo mada katika watu ambao wapo siriasi na Hip Hop huwezi kutowaelewa Tamaduni mtu anatengeneza album ina nyimbo zaidi ya kumi na zote nzito
Asikilize kwanza Hisia
 
Honestly sijui unaingea madudu gani hata
Ngoma inogiree wewe chiny beez mkarii ,hapo hamo pale mbosso,kwa kule rayvanny,pale countyr boy,halafu mzee mzima daimond kwanza hata daimond pekee anaweza fanya shoo na ikambamba kinomaaa
 
Mkuki wa nguruwe hahahahahaha, ndo nakatafakari kale ka kauli ka "BILA M 10 SIFANYI SHOO" haya thatha hao unaowafanyisha shoo unawapa hiyo m 10 ili scope ya burudani ibadilike..huhuhuhuhuhu
Eyes are mine...
Kwani hao wa Fiesta wanawalipa hata hio nusu tu ya million kumi?
 
Hahah Tamaduni Music wako OG sana, amna nyimbo za majungu kule
 
Kabisa aisee mimi nilikuwa sina chuki nao wasafi ila sinaga shobo na vitu soft soft kwahyo sikuwai wafatilia hawa wasafi na soft soft wengine wote ila baada ya taarifa hii kiukweli nimewaunga mkono wanapeleka shule huko mtwara
 
Kwa taarifa yako hiyo Fiesta unayoipigia chapuo sisi wapenda burudani hata bure hatuwezi kwenda. Unipangie Nandy, Whozu, Mabantu, Billnas, J melody alafu uiite show!!!? Hebu nitajie wasanii watatu tu wakubwa kabisa kibongobongo kwenye Fiesta. Hakuna lolote mnalishwa maneno tu na Mchonvu & Dozen then kwa kutokujua kwenu mziki mnakurupuka!
Show kubwa lazima iwe na wasanii wakubwa (Mondi, Vany, Harmonize, Mboso, Dudu, Navykenzo n.k)
Katika hili Show kubwa ni Wasafi.
 
Hawa watu nahisi bila bifu na chokochoko hamna la maana wanaweza fanya. Wamekaa kishari shari na uswahili mwingiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stereo ndo anahit kidogoo ilaa wengi hawana hit songs.. Hawawezi kuuimbisha umaa
Sasa Hit songs utazisikiaje bila kupigwa Redioni we ndezi? Imagine Diamond angekuwa hazingatiwi kwenye Media ile album yake ya Boy from Tandale ingekiki vipi? Japo ina nyimbo za kuburudisha ila kama angekuwa hazungumzwi kwamba wasafi wapo tu ila game inawatambua Tamaduni music tu, Songa, Incredible, Nikki Mbishi na ngoma zao tu kila redio zinapigwa watu wangeanzaje kujua nyimbo za Wasafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…