Wakuu huyu 'Mama Ntilie' anapataje faida? Naona kama nimefaidi zaidi Ugali mboga 7

Hivi Asprini hakomi naye?
Umeona eee babu anataka niletea shida, bibi kaweka meno bandia sahizi anaonekana kama binti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku nilikuwa stendi pembeni kulikuwa na vibanda vya Vyakula Kuna bibie alikua anaandaa chakula mimi niko namtizama kwa Makini ghafla nikaona amechukua fungu za Mchicha kwanza hakuosha mbaya zaidi alikata mpaka mizizi yake nikiwa nashangaa zikatolewa nyanya zimeoza kweli kweli nikashangaa wanasaga hivyo hivyo hata kusafisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hujui hata nyama wengine hawaoshi kabisa vitajuana huko tumboni
 
Kuna sredi ya mshana Jr kuhusu mama ntilie wa rombo ubungo kibo .

Mwenye link amwekee jamaa hapo juu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hujui hata nyama wengine hawaoshi kabisa vitajuana huko tumboni
Nilishangaa mno yaani nilitamani kwenda muuliza why unalisha wateja uchafu kiasi hiki ila nikasita mchicha anakata mpaka mizizi jamaniii ili uwe mwingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hujui hata nyama wengine hawaoshi kabisa vitajuana huko tumboni
Mimi mmojawapo sioshi nyama labda samaki. Osha kabla hujaikata kuondoa ile mikono na na uchafu wa nje. Ukiikatakata nyama ukaishosha unakula makapi. Mtizamo wangu tuu au labda mimi ni mtu wa porini.
 
Acheni kukashif biashara za watu,.sijui anaokata mara mwiko sijui kidudu gani?Mteja mwenyewe ameridhika kwa Chakula kizuri.
 
Nilishangaa mno yaani nilitamani kwenda muuliza why unalisha wateja uchafu kiasi hiki ila nikasita mchicha anakata mpaka mizizi jamaniii ili uwe mwingi
Biashara za watu hizo
 
Wanaitaje,,?economy of scale,mama ntilie wana faida sana anaponunua vitu kwa jumla,mfano magunia ya mchele,viroba vya sembe,gunia la maharage,dagaa etc,
 
wewe utakuwa wakishua mbona ni bei ya kawaida tu na anapata faida kibao na kanunua sehemu salama tu ukiletewa mchanganuo utaelewa tu
 
Ndio kanishauri nikutongoze.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu wewe mkali anakutega huyo ohoo bomu linaandaliwa wewe hujui tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…