Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nani akupige, na kwanini?Sijui kupigana nisije haribiwa sebule yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani akupige, na kwanini?Sijui kupigana nisije haribiwa sebule yangu
Hata kwangu anakufahamu na yeye nafahamu kwao kijijini. Kwangu hawezi pita gate kali.Haaa na huyo bwana akijua yupo kwako, au ndiyo mnajuana!
Umeona eee babu anataka niletea shida, bibi kaweka meno bandia sahizi anaonekana kama binti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Asprini hakomi naye?
Nani akupige, na kwanini?
Hata kwangu anakufahamu na yeye nafahamu kwao kijijini. Kwangu hawezi pita gate kali.
Yuko kwenye mikono salama sasa usihofu. Kuna ulinzi mkali na watu wakumpa mawaidha.Msaidie huyo kiumbe ajitambue sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hujui hata nyama wengine hawaoshi kabisa vitajuana huko tumboniKuna siku nilikuwa stendi pembeni kulikuwa na vibanda vya Vyakula Kuna bibie alikua anaandaa chakula mimi niko namtizama kwa Makini ghafla nikaona amechukua fungu za Mchicha kwanza hakuosha mbaya zaidi alikata mpaka mizizi yake nikiwa nashangaa zikatolewa nyanya zimeoza kweli kweli nikashangaa wanasaga hivyo hivyo hata kusafisha.
Ndio kanishauri nikutongoze.....Bibi au hana uwezo wakunipiga?
achana na asprini sky atakutupia bomu la kwenye mtandao.Yuko kwenye mikono salama sasa usihofu. Kuna ulinzi mkali na watu wakumpa mawaidha.
Mhh ugali samak kwa 1500??
Nilishangaa mno yaani nilitamani kwenda muuliza why unalisha wateja uchafu kiasi hiki ila nikasita mchicha anakata mpaka mizizi jamaniii ili uwe mwingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hujui hata nyama wengine hawaoshi kabisa vitajuana huko tumboni
Unashangaa hiyo? Hujapikiwa damu ya hedhi wewe!mamaaa, makohozi tena?
Mimi mmojawapo sioshi nyama labda samaki. Osha kabla hujaikata kuondoa ile mikono na na uchafu wa nje. Ukiikatakata nyama ukaishosha unakula makapi. Mtizamo wangu tuu au labda mimi ni mtu wa porini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hujui hata nyama wengine hawaoshi kabisa vitajuana huko tumboni
Biashara za watu hizoNilishangaa mno yaani nilitamani kwenda muuliza why unalisha wateja uchafu kiasi hiki ila nikasita mchicha anakata mpaka mizizi jamaniii ili uwe mwingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu wewe mkali anakutega huyo ohoo bomu linaandaliwa wewe hujui tu [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kanishauri nikutongoze.....