Wakuu huyu 'Mama Ntilie' anapataje faida? Naona kama nimefaidi zaidi Ugali mboga 7

Kaka wasikutishe hiyo ni kama economy of scale ..ingekua masufuri manne ya mboga wateja wa5 angepata hasara imagine basi anawateja 50 kwa masufuria yale yale..anakua kama anauza buffet...watanzania tupunguze imani za kishirikina
 
nguruka wa ukweli sana ila mkuu wanavimichanga alfu wanawasha.
Ila mule sidhani kama kuna virutubisho. wagumu kama mbao.😁😁😁😁
Mkuuu nitafute nikuelekeze jinsi ya kumla nguruka laini kama samaki...NGURUKA mgumu ni wale waliokaaaa sokoni ma miezi na mamiezi Hao ndio shida.

Ukienda sokoni tafuta fresh Nguruka hata ukiwashika tu unaona hawa ni fresh kbsa...wanjano kabisa Chukua hao,tatizo mkienda sokoni mnachukua tu nguruka nguruka mTakula siku nguruka mchungu kama quinine
 
Oh Lawd...!kwakweli life span yenu wala ngurka itakuwa roboo.hehhehe sijala bado..sitakag hata ziingie nyumban kwangu😣😣😣...hhaha ati pacha wa msechu...hahahaa...!..nikikuangukia ww hunyanyukiiii😆😆
naruhusuje uniangukie na hivi najua hamna P.O.P za viunoni..si kunfanya ni paralyze mimi
 
QUOTE="Mnyenz, post: 31576246, member: 219069"]
Hahaaaa!
Mwiko uliotumiwa kupikia na upawa ni mikono ya watu.
Maji ya ugali usikute ni maji yaliyotumiwa kuoshea .......
Bamia- ulimi
Maharage - kinyesi cha mbuzi

Hayo maelezo ni kwa mujibu wa uzi mmoja wa mshana unaomhusu mama ntilie mdigo
[/QUOTE] pale ubungo kibo eeheee!
 
hahaha
mkuu ni nje ya hospital kuu ya kitanzania usikute kweli.
Ila nimeinvestigate ile sahani kwa macho yangu ya nyama ilikuwaa Geunuine.
hiyo ni kweli siku ukienda kula usinawe mikono alafu tonge la kwanza usilile liweke mfuko wa nyuma bila kulichovya kwenye mboga kisha kaa uwe unamwangalia miguuni utaona mambo mengi
 
Faida anapata ila hataki tamaa yakupata nyingi yy kwasahan moja hata akipata faida 500 anaona hana chakupoteza akiuza sahani zake 50 faida 25000 anapitisha buku 10 ya mchezo elf 15 inabaki kibindoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…