Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Wale samaki inahitaji moyo, kama hujawazoea mmmm mie nakula mjani ya maboga basi nakauzu mbona safi
nguruka unawaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale samaki inahitaji moyo, kama hujawazoea mmmm mie nakula mjani ya maboga basi nakauzu mbona safi
We acha tu si vizuri kuyasema humuMmmm
Mkuuu nitafute nikuelekeze jinsi ya kumla nguruka laini kama samaki...NGURUKA mgumu ni wale waliokaaaa sokoni ma miezi na mamiezi Hao ndio shida.nguruka wa ukweli sana ila mkuu wanavimichanga alfu wanawasha.
Ila mule sidhani kama kuna virutubisho. wagumu kama mbao.😁😁😁😁
nguruka wa ukweli sana ila mkuu wanavimichanga alfu wanawasha.
Ila mule sidhani kama kuna virutubisho. wagumu kama mbao.😁😁😁😁
naruhusuje uniangukie na hivi najua hamna P.O.P za viunoni..si kunfanya ni paralyze mimiOh Lawd...!kwakweli life span yenu wala ngurka itakuwa roboo.hehhehe sijala bado..sitakag hata ziingie nyumban kwangu😣😣😣...hhaha ati pacha wa msechu...hahahaa...!..nikikuangukia ww hunyanyukiiii😆😆
hahahahah😅😅😅Hawana kitu ..yaan ovy sana
naruhusuje uniangukie na hivi najua hamna P.O.P za viunoni..si kunfanya ni paralyze mimi
hahahahah
hivi hakuna nguruka mwenye saizi ya sato 😁 😁
nisi kudake utanionyesha hilo gubu nakwambia....Subutuuu...alafu wala Nguruka wengi sana km.99%wanakuwaga na gubu
hahahahaSubutuuu...alafu wala Nguruka wengi sana km.99%wanakuwaga na gubu
nisi kudake utanionyesha hilo gubu nakwambia....
Hamira inahusika!Nimelipa 1500
Nimekula
Ugali
Dagaa wa mwanza
Samaki Kibua
Mlenda
Bamia
Maharage
Matembere
Kila kimoja kinajitegemea havijachanganywa.
hiyo ni kweli siku ukienda kula usinawe mikono alafu tonge la kwanza usilile liweke mfuko wa nyuma bila kulichovya kwenye mboga kisha kaa uwe unamwangalia miguuni utaona mambo mengihahaha
mkuu ni nje ya hospital kuu ya kitanzania usikute kweli.
Ila nimeinvestigate ile sahani kwa macho yangu ya nyama ilikuwaa Geunuine.
Sio wote wapishi wachafu baadhi ni wasafi usiogope.Sisi ambao hatuna wakutupikia kuna mda vitu kama ivo tunamwachia mungu, maana
nahisi tokea nianze kula kwao ni mungu tu anatulinda
Sema wanajua kupika na vyakula vyao vitamu