matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Mkuu kuna nini huko NEC, tustuane kama kuna kesi kama yangu basi tatizo ni la kitaifaNaona unaongelea linalo endelea pale NEC leo.
Uko vzr mkuu.
da!!!Jifunze kuogelea kwa kufuata mkondo!!
za uswahilini tu huku ila wasomi nao wamo wakiongwa na bossi wao.Mkuu uko ofisi gani aisee.
asante, mkuuKatika ajira nyingi hiyo changamoto ipo kwa sana. Kikubwa amini katika haki, kuona wenzio bora kuliko wewe na pia penda kujishusha rafiki.
Tanzania katika baadhi ya taasisi bado sana kukubali ushauri chanya ambao ni msaada kwa viongozi na taasisi yenyewe. Pole sana kijana, huo ndio ukubwa sasa.
Karibu.
Endelea kumuumiza boss Hadi aje kuwa mshkaji wakoMwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa.
Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza.
Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema hata sisi tunashangaa jamaa sijui nani amemuambia afanye. Wote wanakugeuka.
SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.
Hataki kuona umefanya jambo zuri au jema lenye manufaa la kibunifu. Anaumia anaona umemzidi. Yuko radhi hata mpate hasara au kitu kife kuliko kuchukua ushauri mwema unaompa maana itaonekana ni wewe ndiye utapata sifa.
Kimbembe ni pale ambapo katika mkutano wa wafanyakazi watu tumetoa hoja na mapoints ila nyamwezi niliposhusha hoja kila baada ya kituo natiririshiwa makofi lukuki. Hiki kitendo kilimfanya bosi avimbe balaa hadi akasusa na kuacha kikao mikononi mwa wasaidizi wake na kukaa nje.
Hili life nalipenda sana maana najifunza mengi ila natamani mbinu za kisasa za kutoboa katika mazingira kama haya dhidi ya masnichi kama hawa na bossi wa namna hii.
Kama wewe ni mtumishi wa umaa usitegemee kutoboa labda ujaribu kufanya private sectors au kwenye NGO where you are free to practice creativity and innovations au jiajiri mkuuMwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa.
Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza.
Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema hata sisi tunashangaa jamaa sijui nani amemuambia afanye. Wote wanakugeuka.
SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.
Hataki kuona umefanya jambo zuri au jema lenye manufaa la kibunifu. Anaumia anaona umemzidi. Yuko radhi hata mpate hasara au kitu kife kuliko kuchukua ushauri mwema unaompa maana itaonekana ni wewe ndiye utapata sifa.
Kimbembe ni pale ambapo katika mkutano wa wafanyakazi watu tumetoa hoja na mapoints ila nyamwezi niliposhusha hoja kila baada ya kituo natiririshiwa makofi lukuki. Hiki kitendo kilimfanya bosi avimbe balaa hadi akasusa na kuacha kikao mikononi mwa wasaidizi wake na kukaa nje.
Hili life nalipenda sana maana najifunza mengi ila natamani mbinu za kisasa za kutoboa katika mazingira kama haya dhidi ya masnichi kama hawa na bossi wa namna hii.
hahahahaSASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.....,shida iko hapo
Jr
Hana ushikaji. Ukiperform kupitiliza anakuiga zengwe akishirikiana na washkaji zake wanaompelekea taarifa hadi unakimbia ofisi bila kuresign wala kufukuzwa. Sasa hapo mimi nataka nikomae hata nikwazweje siziri wala siondoki
za uswahilini tu huku ila wasomi nao wamo wakiongwa na bossi wao.
Sio serikalini lakini mkuu
Mkuu ukiwa job, hebu jaribu kupunguza kihereherehahahaha
mkuu hapo ni balaa.
Tunatoboaje hapo mkuu.
Hana ushikaji. Ukiperform kupitiliza anakuiga zengwe akishirikiana na washkaji zake wanaompelekea taarifa hadi unakimbia ofisi bila kuresign wala kufukuzwa. Sasa hapo mimi nataka nikomae hata nikwazweje siziri wala siondoki
Kuna lijamaa flani hapa ofisini kila likichambwa na boss linaitikia" uko correct boss, sawasawa hata hujakosea" mi namuangaliaga nasema duhhNenda kama wenzako mkuu, acha kujifanya mjuaji. Ilimradi mshahara wako unapata wewe kuwa kama wao.
Kuwa mtata endapo una cheo tayar, lasivo utaendelea kuonekana irrelevant kwa wenzako
Mkuu ukiwa job, hebu jaribu kupunguza kiherehere
Sasa ufanyeje na una shida?Tatizo ukiwa mnyonge kila mtu anakuburuza wewe,wanakufanya kanyagio lao.
Hapana aisee shida zako zisikufanye uwe mtumwaSasa ufanyeje na una shida?
Unatulia huku ukikamilisha yako