Wakuu katika ofisi kama hii tunatumia mbinu gani kutoboa

Wakuu katika ofisi kama hii tunatumia mbinu gani kutoboa

Hiyo kitu unayosema ilishawahi kunitesa sana kwenye kazi yangu ya kwanza yaani nilikuwa nafikiri ukiwa na nidhamu sana ndio itasaidia kuishi vizuri na kupewa heshima kumbe hali ikaja kinyume chake yaani ilikuwa kero hadi kazi na kampuni yenyewe yote ilikuwa chungu.
Ndio maana sasa hivi sitaki tena hizo habari za kuwa na nidhamu nikiwa kazini,yaani ni ubabe ubabe tu siangalii wewe ni bosi au mtu wa chini.
He he he haya bana
 
Sehemu kama hizo inakubidi uchague moja either uwe mnyenyekevu sana/kujikomba au uwe mbabe,kucheza na sheria.
Ila ukifuata hiyo ubabe inabidi ujipange sana maana sehemu kama hizo washirikina huwa hawakosekani.
Hivi mkuu washirikana maofisini kazi zao kuu nini?
Samahani kwa swal
 
Hiyo kitu unayosema ilishawahi kunitesa sana kwenye kazi yangu ya kwanza yaani nilikuwa nafikiri ukiwa na nidhamu sana ndio itasaidia kuishi vizuri na kupewa heshima kumbe hali ikaja kinyume chake yaani ilikuwa kero hadi kazi na kampuni yenyewe yote ilikuwa chungu.
Ndio maana sasa hivi sitaki tena hizo habari za kuwa na nidhamu nikiwa kazini,yaani ni ubabe ubabe tu siangalii wewe ni bosi au mtu wa chini.
Haa haa ha [emoji28]

Utakuja kufukuzwa niamini mimi
 
Hivi mkuu washirikana maofisini kazi zao kuu nini?
Samahani kwa swal
tunadeal vipi na hawa washilikina mkuu.
Kuna mtoa taarifa mmoja wa boss nilimuota hadi nikahisi anatumia utamaduni kunipunguzia kasi za utumishi wangu
 
Haa haa ha [emoji28]

Utakuja kufukuzwa niamini mimi
huyu jamaa hapa wiki hamalizi, afukuzwi anajifukuza mwenyewe maana anaweza kupanikishwa asusa akidhani amekomoa kumbe ulikuwa ndio mpango mkakati wa kumuondoa.

Panahitaji akili zaidi ya nguvu
 
Ushawahi kwenda kwenye kampuni fulani halafu ukakuta kuna mtu elimu yake ni darasa la 7B halafu ameshikilia kitengo ni meneja au supervisor halafu utashangaa anawaongoza wetu wenye digrii zao?Hapo ndipo uchawi unakuwa umetumika.
Halafu utashangaa hata ikipitishwa redundancy mtu huyo anarukwa wanapunguzwa wengine tu anadunda tu hata miaka 20.
Sasa ikitokea wewe umetoka chuo halafu uko chini yake na unakuwa mtu wa hoja sana anapata hofu utamharibia kazi yake aonekane hafai,hapo ndipo anasaka njia mbadala ili akutulize either ufukuzwe kazi au uugue ushindwe kufanya kazi yako.
Hivi mkuu washirikana maofisini kazi zao kuu nini?
Samahani kwa swal
 
Ushawahi kwenda kwenye kampuni fulani halafu ukakuta kuna mtu elimu yake ni darasa la 7B halafu ameshikilia kitengo ni meneja au supervisor halafu utashangaa anawaongoza wetu wenye digrii zao?Hapo ndipo uchawi unakuwa umetumika.
Halafu utashangaa hata ikipitishwa redundancy mtu huyo anarukwa wanapunguzwa wengine tu anadunda tu hata miaka 20.
Sasa ikitokea wewe umetoka chuo halafu uko chini yake na unakuwa mtu wa hoja sana anapata hofu utamharibia kazi yake aonekane hafai,hapo ndipo anasaka njia mbadala ili akutulize either ufukuzwe kazi au uugue ushindwe kufanya kazi yako.
Ooh sawa sawa
safi
 
Katika ajira nyingi hiyo changamoto ipo kwa sana. Kikubwa amini katika haki, kuona wenzio bora kuliko wewe na pia penda kujishusha rafiki.

Tanzania katika baadhi ya taasisi bado sana kukubali ushauri chanya ambao ni msaada kwa viongozi na taasisi yenyewe. Pole sana kijana, huo ndio ukubwa sasa.

Karibu.
Huyo anazungumzia chama chamasisiem amukupoteza ww.....
 
Yes nina uzoefu sana na makampuni ya kibongo.
Kuna scenario nyingine huwa inatokea hivi.
Unafanya kazi yako vizur tu huna ugomvi na mtu yeyote,bosi au mkurugenzi anakukubali/anakupenda na hana ugomvi na wewe majukumu yanaendelea kama kawaida tu lakini inatokea siku moja unaamka asubuhi kwenda kazini unakutana na barua ya kuachishwa kazi na unaulizia kosa halijulikani,unafikiri ni kwa nini hutokea hivyo?
Ooh sawa sawa
safi
 
Ushawahi kwenda kwenye kampuni fulani halafu ukakuta kuna mtu elimu yake ni darasa la 7B halafu ameshikilia kitengo ni meneja au supervisor halafu utashangaa anawaongoza wetu wenye digrii zao?Hapo ndipo uchawi unakuwa umetumika.
Halafu utashangaa hata ikipitishwa redundancy mtu huyo anarukwa wanapunguzwa wengine tu anadunda tu hata miaka 20.
Sasa ikitokea wewe umetoka chuo halafu uko chini yake na unakuwa mtu wa hoja sana anapata hofu utamharibia kazi yake aonekane hafai,hapo ndipo anasaka njia mbadala ili akutulize either ufukuzwe kazi au uugue ushindwe kufanya kazi yako.
hii scenario mkuu ni balaa. Hapo battle lake huwa sio la kawaida hasa na wewe usipojishusha.
Ila nimegundua majungu na matumizi ya utamaduni hata bossi awe professor bado tatizo lipo tu hasa anapoona kuna mtu yuko vizuri pembeni yake
 
Ndio hivyo mkuu kampuni karibu zote za kibongo zipo hivyo.
Wabongo huwa hawajiamini kwenye taaluma zao na ufanisi ni lazima asake mambo ya utamaduni.
Nchi za wenzetu ukiwa kichwa na mchapakazi unapendwa na kupewa awards mbalimbali ikiwemo kupandishwa cheo.
Ila huku kwetu ukiwa kichwa na mchapakazi unachukiwa na kuonekana una kimbelembele,wanachotaka na wewe uwe mzugaji kama wao uwe una porojo tu kazi kidogo.
Kweli Bongo nyoso.
hii scenario mkuu ni balaa. Hapo battle lake huwa sio la kawaida hasa na wewe usipojishusha.
Ila nimegundua majungu na matumizi ya utamaduni hata bossi awe professor bado tatizo lipo tu hasa anapoona kuna mtu yuko vizuri pembeni yake
 
Mwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa.
Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza.

Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema hata sisi tunashangaa jamaa sijui nani amemuambia afanye. Wote wanakugeuka.

SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.

Hataki kuona umefanya jambo zuri au jema lenye manufaa la kibunifu. Anaumia anaona umemzidi. Yuko radhi hata mpate hasara au kitu kife kuliko kuchukua ushauri mwema unaompa maana itaonekana ni wewe ndiye utapata sifa.

Kimbembe ni pale ambapo katika mkutano wa wafanyakazi watu tumetoa hoja na mapoints ila nyamwezi niliposhusha hoja kila baada ya kituo natiririshiwa makofi lukuki. Hiki kitendo kilimfanya bosi avimbe balaa hadi akasusa na kuacha kikao mikononi mwa wasaidizi wake na kukaa nje.

Hili life nalipenda sana maana najifunza mengi ila natamani mbinu za kisasa za kutoboa katika mazingira kama haya dhidi ya masnichi kama hawa na bossi wa namna hii.
hivi boss anapokua anamdiscourage mfanyakazi wake anakuwa na maana gani
si bora amfukuze tu
 
Nishakuwa mkongwe na sugu,nimefukuzwa mara nyingi na nimeacha kazi mara kadhaa.
Kwa hiyo huwezi kunitishia kunifukuza kazi nitabaki nakucheka tu.
Kosa litaendelea jirudia...Hadi pale utakapo jifunza
 
Back
Top Bottom