Wakuu katika ofisi kama hii tunatumia mbinu gani kutoboa

Mshauri bosi ofisini/mkiwa wawili ili yeye ndio ailete hoja hadharani

Mambo ya kutaka "Kumfunika" bosi wako sio mazuri [emoji23]

Dah... Ila siku hizi bila unafiki maisha hayaendi, halafu unafiki ni kipaji sio kila mtu anacho
Mwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa.
Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza.

Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema hata sisi tunashangaa jamaa sijui nani amemuambia afanye. Wote wanakugeuka.

SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.

Hataki kuona umefanya jambo zuri au jema lenye manufaa la kibunifu. Anaumia anaona umemzidi. Yuko radhi hata mpate hasara au kitu kife kuliko kuchukua ushauri mwema unaompa maana itaonekana ni wewe ndiye utapata sifa.

Kimbembe ni pale ambapo katika mkutano wa wafanyakazi watu tumetoa hoja na mapoints ila nyamwezi niliposhusha hoja kila baada ya kituo natiririshiwa makofi lukuki. Hiki kitendo kilimfanya bosi avimbe balaa hadi akasusa na kuacha kikao mikononi mwa wasaidizi wake na kukaa nje.

Hili life nalipenda sana maana najifunza mengi ila natamani mbinu za kisasa za kutoboa katika mazingira kama haya dhidi ya masnichi kama hawa na bossi wa namna hii.
 
Kosa litaendelea jirudia...Hadi pale utakapo jifunza
nyie ndio wale wadada wanaoliwa na mabosi kisa kuogopa kufukuzwa.
Lazima uweke mipaka vinginevyo utakuwa zombie usifae siku ukitakiwa kutumika mahala ambapo core value zao hazina kipengere cha majungu
 
Mshauri bosi ofisini/mkiwa wawili ili yeye ndio ailete hoja hadharani

Mambo ya kutaka "Kumfunika" bosi wako sio mazuri [emoji23]

Dah... Ila siku hizi bila unafiki maisha hayaendi, halafu unafiki ni kipaji sio kila mtu anacho
mkuu kweli asiee yaani natafakari sana ikiwezekana na mimi niongeze majungu na kaunafiki kidogo ili baadhi ya mambo.
Ila naogopa ntakuwa kama simba sc umeiingiza la liga ipambane na wakina messi ntakuwa kila siku nakula za uso bora nibaki hukuhuku t
 
Kumbe unajua la kufanya.

Wewe unadhani kabudi hajitambui??
 
Principal kubwa kazin unayotakiwa kujua chief. Dont outshine ur boss hata kama unajua kuliko yeye. U need to dance accoding the tune. Cjui kama kiingereza nimepatia mi wa la saba. Kifupi hutafika mbali. Unatakiwa kwenye ubunifu wako utumie hekima flan ionekane na yeye yumo ksenye huo ubunifu. Atakuwa mshikaji wako halafu atakupa moyo utafika mbali.
 
hii prinsipo nimeichukua mkuu, hapa nimetoka kumpanga akanitoa wazo la kupinga nililompa nimemkubalia na kumjaza kuwa wazo lake ni bora na litaleta manufaa zaid ya langu japo tukilichukua litatusababishia gharama ya ziada huko baadae lakni nimeappy unafiki tu ili mambo yaende maana mwisho wa siku usumbusu na hasara atazipata yeye sio mimi.
 
Naona bwana mdogo umeamua kuleta siri za ofisi nje ya ofisi?? Unaelewa maana ya Employment's ethics wewe?? Au kwenye mkataba wako hatukuongea baadhi ya mambo kama hayo??

Sent from my Infinix Zero 4 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa.
Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza.

Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema hata sisi tunashangaa jamaa sijui nani amemuambia afanye. Wote wanakugeuka.

SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.

Hataki kuona umefanya jambo zuri au jema lenye manufaa la kibunifu. Anaumia anaona umemzidi. Yuko radhi hata mpate hasara au kitu kife kuliko kuchukua ushauri mwema unaompa maana itaonekana ni wewe ndiye utapata sifa.

Kimbembe ni pale ambapo katika mkutano wa wafanyakazi watu tumetoa hoja na mapoints ila nyamwezi niliposhusha hoja kila baada ya kituo natiririshiwa makofi lukuki. Hiki kitendo kilimfanya bosi avimbe balaa hadi akasusa na kuacha kikao mikononi mwa wasaidizi wake na kukaa nje.

Hili life nalipenda sana maana najifunza mengi ila natamani mbinu za kisasa za kutoboa katika mazingira kama haya dhidi ya masnichi kama hawa na bossi wa namna hii.
Biashara nyingi za Watanzania zinakufa kwa wamiliki wa biashara hizo kufanya kosa moja la kimkakati;
.
.
Wanaajiri wataalamu kuendesha biashara zao lakini wanawaweka viongozi ama ndugu zao wasio na weledi wowote kusimamia biashara na hapo ndipo visa, visasi, majivuni, majungu na vurugu za kila aina zinaibuka na mwisho wataalamu hukimbia na biashara kufa.
.
.
Uchawi na kushindwa tunalea wenyewe!!
 
Mkuu hali hiyo ni taa nyekundu
Ni kipindi kigumu Sana kwenye Utumishi.
Hali hii huwa inamaanisha mambo kadhaa
1: Inaweza kuwa ni kipindi cha kujaribiwa your character- hapa hata uwe humble vipi visa vitaendelea hadi uive . Komaa hadi waone ulikua hautaniii Bali ndivyo ulivyo.

2: Inaweza kuwa ni warning kuwa mahala ulipo sio sahii kwa future yako- ni vizuri uanze kujiandaa ku quit utafute eneo sahii kwa ustawi wako.

3: Inaweza kuwa ishara umeumbwa kuongoza na sio kuongozwa. Jitie ujasiri go and Star your business out there.

Tafakari dhana hizo 3 then Mungu akupe kuhamua vyema
 
mimi hizi situation nilizikuta enzi hizo niko sekta binafsi kulikua na kademu kanagongwa na mabosi kana kelele sana badae nikatafuta kazi serikalini nikaweka sawa kila kitu nikasepa zangu wao walizani ntafulia baada ya mwaka nikaenda pale na v8 naendeshwa hawakuamini
 
hii prinsipo nimeichukua mkuu, hapa nimetoka kumpanga akanitoa wazo la kupinga nililompa nimemkubalia na kumjaza kuwa wazo lake ni bora na litaleta manufaa zaid ya langu japo tukilichukua litatusababishia gharama ya ziada huko baadae lakni nimeappy unafiki tu ili mambo yaende maana mwisho wa siku usumbusu na hasara atazipata yeye sio mimi.
Hivi ndivyo inavyotakiwa, full kusifia ujinga ujinga tu
 
Back
Top Bottom