Wakuu Kuna hii style mpya ya nyumba. Tusaidieni ufafanuzi

Wakuu Kuna hii style mpya ya nyumba. Tusaidieni ufafanuzi

Hahaahahh

Sure man.

Hakuna kipya wala kisasa, its just mindset zz watu
Siku hizi kinachofanyika ni kuboresha tu design za zamani

Kwa mfano hizi contemporary zimeboreshwa kutoka nyumba za miaka ya 80's zilijulikana kama slab roofing house design

Sawa na hii sloping roof design
 
Ahsante kwa elaboration yako mtaalam.

Boss hapo kwenye kuta kukutana paa, kutafanyika nini ili kutengeneza kitu bora.

Je haina complications za kuvuja kama ilivyo contemporary houses?
Wala mm sio mtaalam. Naonaga changamoto zake kwa majirani zangu.
Ila halivuji endapo kama mchora ramani na fundi watazingatia vipimo sahihi vya kitaalam
 
Back
Top Bottom