Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mimi kama dakika 20 zilizopita napita mtaani kwetu dada mmoja kaniita kwenye grocery moja akaninong'oneza una elfu kumi hapo tukatomb...ne, mkuu dunia hii ya Leo ni mwendo kasi.I got you..
Wewe leo ndo wakuyasema haya ??? or naotaUpendo wa dhat hauhitaj pesaaa
Hivi hawa warembo siku hizi bila hela kumbe sio wa kuwafwata ehee??!!!
Hahaha...umemjibu vipi mkuu??Mimi kama dakika 20 zilizopita napita mtaani kwetu dada mmoja kaniita kwenye grocery moja akaninong'oneza una elfu kumi hapo tukatomb...ne, mkuu dunia hii ya Leo ni mwendo kasi.
Wewe leo ndo wakuyasema haya ??? or naota
Mkuu huyu mrembo namfahamu kwa kupitia threads zake na comments zake humu...kama huna hela usimsogelee kabisaHivi hawa warembo siku hizi bila hela kumbe sio wa kuwafwata ehee??!!!
Mkuu huyu mrembo namfahamu kwa kupitia threads zake na comments zake humu...kama huna hela usimsogelee kabisa
Nimemwambia nisubiri hapahapa ila najilaumu maana ana bonge la msambwanda!Hahaha...umemjibu vipi mkuu??
Hii inatokea kwa asilimia chache sana..nitafanya nini ili nimfanye mrembo wa kisasa a-fall in love kwangu wakati mimi kapuku??..Hajiamini nakwambia kuna mwanamme hata kama hana hela unampenda tu
Aisee so nagunduaje kuwa unashida na mimi or huna shida na mimi unataka kunitapeli??Mm ndiyo wanaume tunaowatoza fedha hatuna shida nao ni kwa ajili ya kujifurahisha na kuwatapeli
Kwahiyo mkuu ukipata kama sh ngapi hivi ndo utapata nguvu ya kumtokea huyu mrembo??Mkuu huyu mrembo namfahamu kwa kupitia threads zake na comments zake humu...kama huna hela usimsogelee kabisa
Mkuu nielekeze mitaa yenu nije kutembea tembeaMimi kama dakika 20 zilizopita napita mtaani kwetu dada mmoja kaniita kwenye grocery moja akaninong'oneza una elfu kumi hapo tukatomb...ne, mkuu dunia hii ya Leo ni mwendo kasi.
Hii inatokea kwa asilimia chache sana..nitafanya nini ili nimfanye mrembo wa kisasa a-fall in love kwangu wakati mimi kapuku??..
Hela sina mkuu...mrembo kama huyu labda anionee tu huruma mwenyeweKwahiyo mkuu ukipata kama sh ngapi hivi ndo utapata nguvu ya kumtokea huyu mrembo??
Hahaha..maybe umeepuka kitu,hakuna haja ya kulaumu..Nimemwambia nisubiri hapahapa ila najilaumu maana ana bonge la msambwanda!
Aisee so nagunduaje kuwa unashida na mimi or huna shida na mimi unataka kunitapeli??
Hela sina mkuu...mrembo kama huyu labda anionee tu huruma mwenyewe
Nimekuelewa..ila unajua ukiwa broke unakuwa pia na mwonekano wa kichovu,kwahiyo hata kumfanya mrembo akupe attention yake ni kazi kweli kweli..Hii inategemea na mwanamke mwenyewe ukimtongoza akakupenda tu piah kitu kingine kinachorahisisha mwanamke akupende bila pesaa ni kwamba tunapenda sana kupendwa na kusifiwa kupewa ushaur kumjali muda mwingi unashangaa anazimika kiukweli kwako.
Japo siyo rahisi ila mwanamke anapenda mwenyewe jaman unaweza mfanyia vyote na asikupende hivyo ni kama bahat tu.