Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Mimi kama dakika 20 zilizopita napita mtaani kwetu dada mmoja kaniita kwenye grocery moja akaninong'oneza una elfu kumi hapo tukatomb...ne, mkuu dunia hii ya Leo ni mwendo kasi.
Hahaha...umemjibu vipi mkuu??
 
Hii inategemea na mwanamke mwenyewe ukimtongoza akakupenda tu piah kitu kingine kinachorahisisha mwanamke akupende bila pesaa ni kwamba tunapenda sana kupendwa na kusifiwa kupewa ushaur kumjali muda mwingi unashangaa anazimika kiukweli kwako.

Japo siyo rahisi ila mwanamke anapenda mwenyewe jaman unaweza mfanyia vyote na asikupende hivyo ni kama bahat tu.
Hii inatokea kwa asilimia chache sana..nitafanya nini ili nimfanye mrembo wa kisasa a-fall in love kwangu wakati mimi kapuku??..
 
Utaona tu vizinga vingi vya pesaa piah naweza jifanya mstaarabu Nina plan nying nzur za maisha unaona huyu mke nakuja kukupiga mzinga mmoja huo balaaa kiufupi huwez kugundua ni wajanja sana wanawake tunajifanya kama vile wakuhurumiwa kumbe mafisi
Aisee so nagunduaje kuwa unashida na mimi or huna shida na mimi unataka kunitapeli??
 
Hii inategemea na mwanamke mwenyewe ukimtongoza akakupenda tu piah kitu kingine kinachorahisisha mwanamke akupende bila pesaa ni kwamba tunapenda sana kupendwa na kusifiwa kupewa ushaur kumjali muda mwingi unashangaa anazimika kiukweli kwako.

Japo siyo rahisi ila mwanamke anapenda mwenyewe jaman unaweza mfanyia vyote na asikupende hivyo ni kama bahat tu.
Nimekuelewa..ila unajua ukiwa broke unakuwa pia na mwonekano wa kichovu,kwahiyo hata kumfanya mrembo akupe attention yake ni kazi kweli kweli..

Either way nakubaliana na wewe mwanamke anapenda kusifiwa na kujaliwa..
 
Back
Top Bottom