Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Yes hata mm napenda hivyo ila kama haujali siwez kuhangaika na wewe na kama hunipi maneno ya faraja kiukweli sijisikii vizur bora niwe nakupiga mizinga ndiyo faraja yangu
Nimekuelewa..ila unajua ukiwa broke unakuwa pia na mwonekano wa kichovu,kwahiyo hata kumfanya mrembo akupe attention yake ni kazi kweli kweli..

Either way nakubaliana na wewe mwanamke anapenda kusifiwa na kujaliwa..
 
Utaona tu vizinga vingi vya pesaa piah naweza jifanya mstaarabu Nina plan nying nzur za maisha unaona huyu mke nakuja kukupiga mzinga mmoja huo balaaa kiufupi huwez kugundua ni wajanja sana wanawake tunajifanya kama vile wakuhurumiwa kumbe mafisi
Aisee so kumbe hamna formula maigizo mnayaweza vizuri tu
 
Yes hata mm napenda hivyo ila kama haujali siwez kuhangaika na wewe na kama hunipi maneno ya faraja kiukweli sijisikii vizur bora niwe nakupiga mizinga ndiyo faraja yangu
Hivi kuna wanaume ambao wanaweza kupigwa vizinga bila kufaidi hata kidogo na bado wakawa wanatoa tu pesa??
 
Wewe weka pesa mezani mwenyewe atatoka kama nyoka pangoni!

Hivi vimaneno nakupenda nakuzimia wameshaambiwa sana mtaani.
Mimi sijamwambia nampenda, nime share na wadau tu. Halafu pia mie sio mtu mwenye pesa za kuweka mezani ili nimpate mwanamke
 
Bora hata wewe umejiripua kuongea! !!!
Wengine tunaishia kuangalia tu Avatar tu.

Wapo kama 3 hivi yaani hata kama sifahamu wanafananaje ila nawamezea mate tu.
 
Yes wapo hao wanakuwa wamekupenda kwa dhat anadhan kukupa pesa ndiyo atapata bibi
Hivi kuna wanaume ambao wanaweza kupigwa vizinga bila kufaidi hata kidogo na bado wakawa wanatoa tu pesa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…