Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

maisha mafupi haya mkuu kama unampenda mtu funguka


Nataman ningefuka miaka mitatu iliyopita dah bibie Fulani umenifanya nimekuwa muhuni sina cha kupoteza mtoa mada usifanye makosa kama mimi
Hahahaha wala sihitaji kufunguka mkuu
 
Utaona tu vizinga vingi vya pesaa piah naweza jifanya mstaarabu Nina plan nying nzur za maisha unaona huyu mke nakuja kukupiga mzinga mmoja huo balaaa kiufupi huwez kugundua ni wajanja sana wanawake tunajifanya kama vile wakuhurumiwa kumbe mafisi
Duuuu kumbe ndo maana wanawake mnachukiana ni kwa sababu mnajuana katika ku fake
 
ZOZAAAAA! kwanini uudhulumu moyo wako ile kitu inapenda? YOLO

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…