Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Nakuonya:
jf sio mahala salama kufungua moyo mkuu. Penda uliempenda partially tu.


Y.C.T.I.O.L.I
 
Achana kabisa na Mzigua90 wangu yaani hata kumfikiria naweza kukuroga upate busha milele.
 
Kama mwafulani nataman hata nimtaje ila hataki yani Jf kuna watu wema jaman urafiki tu lakin wengine wanadhani ngono ndiyo kila kitu.
Mtaje na mimi awe rafiki yangu jamani. Atanifaa sana siku ya leo anilipie Dstv tu japo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…