Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Nakuonya:
jf sio mahala salama kufungua moyo mkuu. Penda uliempenda partially tu.


Y.C.T.I.O.L.I
 
Anaitwa Mzigua90

Sitaki kujua ana sura gani, ana shape gani, ana rangi gani, kabila gani, elimu gani, wala nini. Ila tu najua jinsia yake ni 'ke' kwa jinsi anavyojinasibu.

Yaani ni kitu 'natural affection' au 'natural love' tuseme.

Nimejikuta nampenda tu hata sijui nyuzi zake, wala comments zake maana sifuatilii.

Ila sitamtongoza, na yeye pia asinitongoze pls . Nimeona ni share tu na wadau !

Hv vitu hutokea sana tu.
Achana kabisa na Mzigua90 wangu yaani hata kumfikiria naweza kukuroga upate busha milele.
 
Kama mwafulani nataman hata nimtaje ila hataki yani Jf kuna watu wema jaman urafiki tu lakin wengine wanadhani ngono ndiyo kila kitu.
Mtaje na mimi awe rafiki yangu jamani. Atanifaa sana siku ya leo anilipie Dstv tu japo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom