Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sana hasa awe sio mchoyo jamaniUkipata mtu wa hivi huwa ni nzur sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana hasa awe sio mchoyo jamaniUkipata mtu wa hivi huwa ni nzur sanaa
Nyota imeniwakia naona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijaambiwa napendwa siku nyingi kweli
Kweli..kama mimi kufungua tu thread ndo unachotaka ili uamini basi nitafanya hivyo soonapia?
aagh, ukinifungulia thired ndo ntaamini
Sana hasa awe sio mchoyo jamani
Kweli..kama mimi kufungua tu thread ndo unachotaka ili uamini basi nitafanya hivyo soon
Uwanja wako mamaNimefika ndugu yangu..
😀 hebu kwanza nijuze crush maana yake nini nsije kuwa nimeelewa tofauti mie std7 liverKweli..kama mimi kufungua tu thread ndo unachotaka ili uamini basi nitafanya hivyo soon
Nakaziaaaa na mm nitakuwa mchepuko sitakuangushaa
Demiss!!!! Upo huo siku hizi?? Eti "nimempendea damu"!! Siyo kwa kizazi jiki. Hicho kimepita zama zake.Upendo wa dhat hauhitaj pesaaa
Labda umebaki wewe kama wanena toka moyoni.Hajiamini nakwambia kuna mwanamme hata kama hana hela unampenda tu
Achana kabisa na Mzigua90 wangu yaani hata kumfikiria naweza kukuroga upate busha milele.Anaitwa Mzigua90
Sitaki kujua ana sura gani, ana shape gani, ana rangi gani, kabila gani, elimu gani, wala nini. Ila tu najua jinsia yake ni 'ke' kwa jinsi anavyojinasibu.
Yaani ni kitu 'natural affection' au 'natural love' tuseme.
Nimejikuta nampenda tu hata sijui nyuzi zake, wala comments zake maana sifuatilii.
Ila sitamtongoza, na yeye pia asinitongoze pls . Nimeona ni share tu na wadau !
Hv vitu hutokea sana tu.
hahahaa si umesema una danga lako humu acha kunizibia riziki lol
Demiss!!!! Upo huo siku hizi?? Eti "nimempendea damu"!! Siyo kwa kizazi jiki. Hicho kimepita zama zake.
Labda umebaki wewe kama wanena toka moyoni.
Kumbe "unaweza kuta". Still it's not assurance. Hadi sasa hujaweza toa bure.Unaweza kuta napigwa mashine buree kabisaa
Mkuu huku jf pesa ndefu sana inahitajikaMitaa ya jf hujamaliza kwanza [emoji23]
Hahaahahaa.Uwanja wako mama
Sura ya baba inafichwa kwa nguvu zoteHongera, roho yako kwatuuu, nimependa hiyo avatar naona juhudi zako za kuficha reception [emoji41]
Mtaje na mimi awe rafiki yangu jamani. Atanifaa sana siku ya leo anilipie Dstv tu japo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mwafulani nataman hata nimtaje ila hataki yani Jf kuna watu wema jaman urafiki tu lakin wengine wanadhani ngono ndiyo kila kitu.