Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Kichwa cha somo chajieleza ninawaza kununua laptop mpya,sio refurbished wala used.Je kwa fungu hili nililoliallocate naweza pata laptop ya haja ya moyo wangu.Brand hasa niliyoiwenga ni HP kwa matumizi ya kuangalia movies,kuingia mtandaoni programming,music hivyo ninalenga storage kubwa.Naomba wasilisha