Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Kwa bajeti ya 1.5M unaweza kupata HP Brand New, ila cha msingi ni kuangalia specifications kuliko kuangalia brand pekee.Kichwa cha somo chajieleza ninawaza kununua laptop mpya,sio refurbished wala used.Je kwa fungu hili nililoliallocate naweza pata laptop ya haja ya moyo wangu.Brand hasa niliyoiwenga ni HP kwa matumizi ya kuangalia movies,kuingia mtandaoni programming,music hivyo ninalenga storage kubwa.Naomba wasilisha
Nashukuru kwa muongozo mzuri kipengele hapo ni kujua kama kweli ni brand new labda una idea nyingineKwa bajeti ya 1.5M unaweza kupata HP Brand New, ila cha msingi ni kuangalia specifications kuliko kuangalia brand pekee.
Kwa matumizi yako ya programming, internet na movies, ningekushauri ulenge angalau Core i5, RAM 8GB na SSD ya 512GB. Ukipata RAM 16GB itakuwa vizuri zaidi kwa programming. Kuhusu storage, SSD ni bora kwa speed kuliko HDD.
Ila kuwa makini na matangazo ya Core i7 kwa bei rahisi sana, kwa sababu generation ya processor ni muhimu kuliko jina la i5 au i7 pekee.
Ushauri wangu: nunua yenye warranty ya uhakika na hakikisha ni Brand New kweli, si refurbished iliyopakwa maneno ya kibiashara. Kwa 1.5M, specs unazopata ndizo zitakazoamua kama ni dili au umepoteza pesa.
Yaani 1.5m asipate brand new laptop? Zimepanda lini bei namna hiyo?Brand new uongo
Labda refurb
Niliulizia brand new hp kariakoo bei ni million 5 plusYaani 1.5m asipate brand new laptop? Zimepanda lini bei namna hiyo?
Ni kweli zipo zenye specs kubwa lakini kwa 1.5m pia unapata brand new ingawa hazitakuwa na specs kubwa.Niliulizia brand new hp kariakoo bei ni million 5 plus
Sikutaka hata kufatilia specification
Laptop beand new are expensive
Duka gani?Wasikudanganye laptop mpya zipo kibao but kwa bei hiyo hutopata kubwa sana..
1.5 million PC unapata Gb 8 of Ram.USSD 128,core i5..kama hujapata kuna duka nikuelekeze posta
Yeah, trueNi kweli zipo zenye specs kubwa lakini kwa 1.5m pia unapata brand new ingawa hazitakuwa na specs kubwa.
Mkuu,Je unaionaje laptop yenye specification hizi yenye bei ya 1,749,000.Ram 8GB,hard disk 512gb ssd,Intel Core i7,13th Gen Processor,na display inch 14,je unadhani bei hii ina make sense kwa Brand new laptop ya hpKwa bajeti ya 1.5M unaweza kupata HP Brand New, ila cha msingi ni kuangalia specifications kuliko kuangalia brand pekee.
Kwa matumizi yako ya programming, internet na movies, ningekushauri ulenge angalau Core i5, RAM 8GB na SSD ya 512GB. Ukipata RAM 16GB itakuwa vizuri zaidi kwa programming. Kuhusu storage, SSD ni bora kwa speed kuliko HDD.
Ila kuwa makini na matangazo ya Core i7 kwa bei rahisi sana, kwa sababu generation ya processor ni muhimu kuliko jina la i5 au i7 pekee.
Ushauri wangu: nunua yenye warranty ya uhakika na hakikisha ni Brand New kweli, si refurbished iliyopakwa maneno ya kibiashara. Kwa 1.5M, specs unazopata ndizo zitakazoamua kama ni dili au umepoteza pesa.
Mkuu, kwa mtazamo wangu, bei ya Tsh 1,749,000 ina make sense kabisa kwa HP brand new yenye Core i7 ya 13th Gen, RAM 8GB na SSD ya 512GB. Nimeangalia pia bei za maduka ya Tanzania, na kuna HP 240 G10 yenye specifications zinazofanana inayouzwa kwa bei hiyo hiyo.Mkuu,Je unaionaje laptop yenye specification hizi yenye bei ya 1,749,000.Ram 8GB,hard disk 512gb ssd,Intel Core i7,13th Gen Processor,na display inch 14,je unadhani bei hii ina make sense kwa Brand new laptop ya hp
hivyo ndivyo ilivyo ujue wabongo wamekalili kuwa kila kilichofungwa kwenye box ni kipyakibongo bongo kupata new ni ngumu, nyingi ni refurbished,....kitu cha muhimu kwasasa ni generation ya processor,...kwa hiyo bajeti yako unaweza pata warau generation ya 7 na kuendelea,...upande wa chaji,. processors ya U ni the best kwa kutunza chaji , lakini sio very powerful ikilinganishwa na M, H, HQ, K,.. nk
kwa hp, matoleo ya (elites and ProBook) yatakufaa zaidi kwa matumizi hayo ya kawaida,,
Unagunduaje kama mpya hapa ndio kipengelehivyo ndivyo ilivyo ujue wabongo wamekalili kuwa kila kilichofungwa kwenye box ni kipya
Jiji nimeona kwenye ad kuna categories 3,used,brand new,refurbished.Sijajua wanaandika tu brand new au wanamaanishakibongo bongo kupata new ni ngumu, nyingi ni refurbished,....kitu cha muhimu kwasasa ni generation ya processor,...kwa hiyo bajeti yako unaweza pata warau generation ya 7 na kuendelea,...upande wa chaji,. processors ya U ni the best kwa kutunza chaji , lakini sio very powerful ikilinganishwa na M, H, HQ, K,.. nk
kwa hp, matoleo ya (elites and ProBook) yatakufaa zaidi kwa matumizi hayo ya kawaida,,
Umenisaidia kushangaa mkuuYaani 1.5m asipate brand new laptop? Zimepanda lini bei namna hiyo?
Hata jiji.co.tz naona kuna laptop zinakwenda mpaka bei hiyo uliyopewa kkooNiliulizia brand new hp kariakoo bei ni million 5 plus
Sikutaka hata kufatilia specification
Laptop beand new are expensive