Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
- Thread starter
-
- #21
Sawa mkuu nipe location hata spec zikiwa minimal sio case cha msingi nipate tu laptop.mpya na si refurbished au usedWasikudanganye laptop mpya zipo kibao but kwa bei hiyo hutopata kubwa sana..
1.5 million PC unapata Gb 8 of Ram.USSD 128,core i5..kama hujapata kuna duka nikuelekeze posta
Laptop city Posta,Sawa mkuu nipe location hata spec zikiwa minimal sio case cha msingi nipate tu laptop.mpya na si refurbished au used
naona kama USSD 128 hiyo storage ni ndogo bossWasikudanganye laptop mpya zipo kibao but kwa bei hiyo hutopata kubwa sana..
1.5 million PC unapata Gb 8 of Ram.USSD 128,core i5..kama hujapata kuna duka nikuelekeze posta
brand New laptops, utaishia kupigwa tu kaka,....Yaani 1.5m asipate brand new laptop? Zimepanda lini bei namna hiyo?
na ndo maana wanaishia kupigwa,...hivyo ndivyo ilivyo ujue wabongo wamekalili kuwa kila kilichofungwa kwenye box ni kipya
Unagunduaje kama mpya hapa ndio kipengele
Jiji nimeona kwenye ad kuna categories 3,used,brand new,refurbished.Sijajua wanaandika tu brand new au wanamaanisha
usikariri i5 bila kutaja generation ya ngapi,...Wasikudanganye laptop mpya zipo kibao but kwa bei hiyo hutopata kubwa sana..
1.5 million PC unapata Gb 8 of Ram.USSD 128,core i5..kama hujapata kuna duka nikuelekeze posta
Nimeanza kuuza laptop mwaka 2007 nimeacha mwaka juzi so nafikiri hapa huna cha kuniambia..usikariri i5 bila kutaja generation ya ngapi,...
kwa hiyo bajeti, brand new laptop generation ya tano kupanda hapati,.....
hizi laptops ni refurbished from dubai, nyingi zinabadilishwa spares mpaka housing, ukitaka refurbished unapewa refurbished, ukitaka brand new waweza pia ukapewa refurbished hiyo hiyo yenye new housing,...kila lakheri
Umempa maelezo mazuri sana.Pili msisitiziea kwamba Brand New Kibongobongo utaumizwa hasa kwa Bajeti yake.Akipata Laptopt yenye RAM 16GB kisha ikawa na GPU ya kutosha,Back lit Keyboard,Port za Kutosha,CPU ya Generation kubwa kuanzia i5 Gen ya 12 n.k. Pia kama ni movies aangalie pia aina ya Speakers,ukubwa wa kioo(secreen) na muda wa kuishi wa Battery,Ila akitamk tu Brand new atawekwa KIBLA na hela yake haitatosha kupata ubora na UPYA kwa wakati mmoja.Unaweza Pewa Brand new Pc lakini sio Latest edition.Aanze kufanya survey kwenye official store ya HP ili kufahamu zaidi kabla ya kuweka Budget.Kwa bajeti ya 1.5M unaweza kupata HP Brand New, ila cha msingi ni kuangalia specifications kuliko kuangalia brand pekee.
Kwa matumizi yako ya programming, internet na movies, ningekushauri ulenge angalau Core i5, RAM 8GB na SSD ya 512GB. Ukipata RAM 16GB itakuwa vizuri zaidi kwa programming. Kuhusu storage, SSD ni bora kwa speed kuliko HDD.
Ila kuwa makini na matangazo ya Core i7 kwa bei rahisi sana, kwa sababu generation ya processor ni muhimu kuliko jina la i5 au i7 pekee.
Ushauri wangu: nunua yenye warranty ya uhakika na hakikisha ni Brand New kweli, si refurbished iliyopakwa maneno ya kibiashara. Kwa 1.5M, specs unazopata ndizo zitakazoamua kama ni dili au umepoteza pesa.
Umempa maelezo mazuri sana mkuu. Niongezee tu kwamba akisisitiza Brand New kwa mazingira ya Bongo, hasa kwa bajeti yake, anaweza kuumia mfukoni.Umempa maelezo mazuri sana.Pili msisitiziea kwamba Brand New Kibongobongo utaumizwa hasa kwa Bajeti yake.Akipata Laptopt yenye RAM 16GB kisha ikawa na GPU ya kutosha,Back lit Keyboard,Port za Kutosha,CPU ya Generation kubwa kuanzia i5 Gen ya 12 n.k. Pia kama ni movies aangalie pia aina ya Speakers,ukubwa wa kioo(secreen) na muda wa kuishi wa Battery,Ila akitamk tu Brand new atawekwa KIBLA na hela yake haitatosha kupata ubora na UPYA kwa wakati mmoja.Unaweza Pewa Brand new Pc lakini sio Latest edition.Aanze kufanya survey kwenye official store ya HP ili kufahamu zaidi kabla ya kuweka Budget.
mtu hujui hata generation ni nn kwenye laptops, unasema umeanza kuuza laptops mwaka 2007,......mawinga mna tabu sana,...Nimeanza kuuza laptop mwaka 2007 nimeacha mwaka juzi so nafikiri hapa huna cha kuniambia..
awato kuelewa kaka...usimalize energy yako bure...humu wajuaji ni wengi ila ki uharisia hakuna wanacho juausikariri i5 bila kutaja generation ya ngapi,...
kwa hiyo bajeti, brand new laptop generation ya tano kupanda hapati,.....
hizi laptops ni refurbished from dubai, nyingi zinabadilishwa spares mpaka housing, ukitaka refurbished unapewa refurbished, ukitaka brand new waweza pia ukapewa refurbished hiyo hiyo yenye new housing,...kila lakheri
ukitaka hiyo nunua kwenye brand Brand Ambassador kama dell, au hp wenyewe ila kwa maduka ya kariakoo hakuna laptop mpya...sasa sizani kama kampuni za kompyuta wana branch hapa bongo...!Unagunduaje kama mpya hapa ndio kipengele
hawa watu kupigwa wanapenda sana ,.....awato kuelewa kaka...usimalize energy yako bure...humu wajuaji ni wengi ila ki uharisia hakuna wanacho jua