Wakuu, leo nimeongeza mpiga kura mwigine

Mkuu,ina maana hizo 4kg alipimwa kabla ya kuzaliwa?

Enewei,
Lucas Mwaashambwa amfikishie pongezi nyingi rais kwa kufanikisha kupatikana kwa huyo mpiga kura mpya. Km yuko mbali jamaa yake wa karibu Etwege anaweza bebajukumu hilo ili salaam zifike mapema.
 
Hongera sana. Hata CCM tunashukuru kwa kutuletea mwanachama mpya. Nitawazadia wewe na mama watoto wako nakala za katiba ya CCM
 
Kila mubaba jeifu ana pisi kali...
Dunia ina pisi nyingi za kila namna; ukikosea kuchagua huku una macho mawili, akili timamu n.k; huo utakuwa ni uzembe wako.
Kumbuka tunaishi mara moja; kwa hiyo kuwa na kifaa kizuri ni muhimu pia.
 
Hongera kwa kujali...

Endeleza kumtunza mwanao...

Pokea maua yako [emoji255][emoji255][emoji255]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…