El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
Unachezq na crt ungekufa. Mimi flash ya camera kidogo initoe roho enzi za utoto. Kumbe ile flash inakuza umeme balaaIko hivi, kuna jirani yangu hapa ni mbahili kichizi yaani mpaka zama hizi bado anatumia litivii la chogo (bonge la tv). sasa leo bwana likamgomea kuwaka, baada ya kufikiria akakumbuka kua mimi jirani yake nimesomea umeme mpaka chuo kikuu ikabidi anishirikishe.
Mimi sijawahi kufungua hata remote maishani mwangu ila sikutaka kuonekana mnyonge,nikamwambia hilo mbona ni tatizo dogo tu hapa ndo kwao.Baanae si nikalifungua kulitengeneza,katika kuligusagusa nikajikuta nimeshika liwaya flani hivi nyuma ya kioo limefunikwa na mpira hivi kama vile vipimio vya mapigo ya moyo vya madaktari.
Kilichotokea sitakuja kusahau maishani mwangu,nilikua hata sijavaa ndala aisee nilifumuliwa zinga la shoti mpaka nikaona giza. Baati nzuri mwenyewe alikua nje basi nikalifunga taratibu alivyorudi ananiuliza vipi imeshapona? Nikamwambia kwa jinsi ilivyoungua haiwezi kupona anunue tu flat. Mjinga kaipeleka kwa fundi (mwenye fani yake) sasa hivi naona amerudi nalo linawaka nimeumbuka..
Sawa mkuu angekuwa demu sio bure ungelamba uo wayaIko hivi, kuna jirani yangu hapa ni mbahili kichizi yaani mpaka zama hizi bado anatumia litivii la chogo (bonge la tv). sasa leo bwana likamgomea kuwaka, baada ya kufikiria akakumbuka kua mimi jirani yake nimesomea umeme mpaka chuo kikuu ikabidi anishirikishe.
Mimi sijawahi kufungua hata remote maishani mwangu ila sikutaka kuonekana mnyonge,nikamwambia hilo mbona ni tatizo dogo tu hapa ndo kwao.Baanae si nikalifungua kulitengeneza,katika kuligusagusa nikajikuta nimeshika liwaya flani hivi nyuma ya kioo limefunikwa na mpira hivi kama vile vipimio vya mapigo ya moyo vya madaktari.
Kilichotokea sitakuja kusahau maishani mwangu,nilikua hata sijavaa ndala aisee nilifumuliwa zinga la shoti mpaka nikaona giza. Baati nzuri mwenyewe alikua nje basi nikalifunga taratibu alivyorudi ananiuliza vipi imeshapona? Nikamwambia kwa jinsi ilivyoungua haiwezi kupona anunue tu flat. Mjinga kaipeleka kwa fundi (mwenye fani yake) sasa hivi naona amerudi nalo linawaka nimeumbuka..
Mzee unaijua CRT?? πππKama hukufa Hiyo haikua shoti umeguswa kidogo tu
πSawa mkuu angekuwa demu sio bure ungelamba uo waya
Mpe hiIko hivi, kuna jirani yangu hapa ni mbahili kichizi yaani mpaka zama hizi bado anatumia litivii la chogo (bonge la tv). sasa leo bwana likamgomea kuwaka, baada ya kufikiria akakumbuka kua mimi jirani yake nimesomea umeme mpaka chuo kikuu ikabidi anishirikishe.
Mimi sijawahi kufungua hata remote maishani mwangu ila sikutaka kuonekana mnyonge,nikamwambia hilo mbona ni tatizo dogo tu hapa ndo kwao.Baanae si nikalifungua kulitengeneza,katika kuligusagusa nikajikuta nimeshika liwaya flani hivi nyuma ya kioo limefunikwa na mpira hivi kama vile vipimio vya mapigo ya moyo vya madaktari.
Kilichotokea sitakuja kusahau maishani mwangu,nilikua hata sijavaa ndala aisee nilifumuliwa zinga la shoti mpaka nikaona giza. Baati nzuri mwenyewe alikua nje basi nikalifunga taratibu alivyorudi ananiuliza vipi imeshapona? Nikamwambia kwa jinsi ilivyoungua haiwezi kupona anunue tu flat. Mjinga kaipeleka kwa fundi (mwenye fani yake) sasa hivi naona amerudi nalo linawaka nimeumbuka..
Acha basi πππUmenikumbusha enzi za uhai wangu nilipokuwa nimehitimu VETA πππππππππ
Naijua vizuri kwanza nimecheka sana, najua ilivonifanya nilijifanya fundi kama yeyeMzee unaijua CRT?? πππ