Ukitoa kuvunjika, hayo mengine yote ni kama umenilenga mimi 😄Gen'z hapo anaona ni jambo kubwa sana la kupoteza uhai amepona.
Hayo sisi ilikuwa ni majanga ya Utotoni, kuvunjika mguu au mkono, kubutuliwa na nyaya za umeme chumbani, kujipigiza kwenye mti au ukutani wakati wa kuruka sarakasi, kukoswakoswa kuungua moto, kukimbizwa na mbwa mkali baada ya kumchokoza, kunusurika kipigo au kupigwa baada ya kufumwa unaiba matunda kwenye shamba la Mtu, kufumaniwa na kupewa kipigo cha mbwa koko baada ya kuktwa unacheza kibabababa nk nk.
We jama wewe!Umenikumbusha enzi za uhai wangu nilipokuwa nimehitimu VETA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭