Wakuu leo nimepishana na ISRAEL mtoa roho

Ukitoa kuvunjika, hayo mengine yote ni kama umenilenga mimi πŸ˜„
 
Sasa kama hujawahi kufungua hata Remote ungekuwa tu mkweli.
 
Sasa kumbe ulisomea Nini uko chuo? nachoka MimiπŸ€”
 
Kitambo sana nilikuwa nikiiangalia TV ya chogo naiona kama kihatarishi flani ambayo muda wowote inaweza kulizusha ila nikawa nakosa uhakika. Leo ndo nimejua ina hilo hazard linaitwa CRT linaweza kukuzima hata kama halijachomekwa kwenye power source. Kumbe hisia zangu zilikuwa sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…