Wakuu mambo ni matatu tu: Uligongewa, Unagongewa, au Utagongewa!

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Shalom shalom

Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume.
Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona, kila siku, kila dakika.

Unajua kuna level tatu mtu unapitia kwenye hii ishu:

Uligongewa – Kama uliwahi kuwa na demu au akawa anazima simu kwa muda mrefu, anarudi na harufu ya cologne ya kiume, au unamkuta yupo online usiku wa manane lakini hakujibu meseji yako ya mchana... pole bro, ulipita huko, au mke asiekuzingatia maigizo mengi na unyumba wa kuomba sana

Unagongewa– Saa hizi huku unacomment “my queen” Insta, kumbe kuna mtu anamwita “babe” kwenye Telegram. Hili haliepukiki asilimia 70 ya ndoa na mahusiano kwasasa yanapitia Hali hii

Utagongewa– Hujapitia, wala hutambui dalili, lakini kama huchelewi kuelewa dunia ya sasa ilivyo... utajikuta kwenye group chatunasomewa ujumbe wa “pole kaka, nilikuwa sina namna”.


Na cha kusikitisha zaidi ni kwamba wanaogonga si mbali – ni boy wake wa karibu, jamaa wa gym, boss kazini au ex wake aliyesema walimalizana zamani

Huu uzi ni wa kuweka ushuhuda, utani, na pia mafunzo – kama umewahi kugongewa, gonga comment.

Uligunduaje? Ulifanya nini? Ulikula block?

Au wewe ndiyo mgongaji mstaafu? Tukusikie!

Karibu kwenye uzi wa wanaume waliojeruhiwa kimya kimya... au wale wanaosubiri jeraha.

#UsikimbieMajiWakuu
#HiliDeniHalilipwi
 
Hakupatikana kwa masaa kadhaa hadi usiku saa 5,
Nampigia ndio anarudi home kwao usiku, nasikia ndio anafunguliwa geti na mlango aingie katoka kwa mwamba fulani,
na huku mimi aliniambia yeye ni mgonjwa yupo kwenye dozi ya malaria 😂😆

Nikasema moyoni fimbo ya mbali haiwezi kuuwa nyoka, Nikamchapa Block hapo hapo.
 
Kwa nn hujamtumia hata hela ya dawa what if alikuwa anatoka hospital kutundikiwa drip😥
 
Dah I can feel the disappointment so aliitumia kama nauli kwenda kwa nyau wake 😂😂😂
the root of all evil ni kupenda fedha,

Mwanamke mwenye tamaa na hela, kugongewa na sio Mayai ni chap kwa haraka sana.
 
Ayesha alikuwa mrangi au mpare
 
Mtoa mada unatutafutia sababu za kwenda kuwapiga wake zetu
 
Mtoa mada unatutafutia sababu za kwenda kuwapiga wake zetu
ni mtazamo wake, aligongewa yeye anahalalisha kwa wote, ukioa mke wa watu utagongewa kweli maana umeoa cha wote
 
Mwanamke akishatoka kwa kupata elimu, kazi au biashara ujue mwanaume unahitaji kuwa na fikra zingine ili uishi nae kwa furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…