Wakuu mambo ni matatu tu: Uligongewa, Unagongewa, au Utagongewa!

Wakuu mambo ni matatu tu: Uligongewa, Unagongewa, au Utagongewa!

Nani aliyewaroga yaani mbususu iwe yako tu ili iweje? Hata mume wa Mama anagongewa vizuri na kina uhuru Kenyatta
Huu ujumbe ukiugeuza unakuwa hta baba yako anagongewa vzuri tu na Akina Uhuru Kenyata
 
Kwa kizazi cha sasa kuwa peke yako n ngumu sana, ushindani ni mkali
 
Shalom shalom

Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume.
Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona, kila siku, kila dakika.

Unajua kuna level tatu mtu unapitia kwenye hii ishu:

Uligongewa – Kama uliwahi kuwa na demu au akawa anazima simu kwa muda mrefu, anarudi na harufu ya cologne ya kiume, au unamkuta yupo online usiku wa manane lakini hakujibu meseji yako ya mchana... pole bro, ulipita huko, au mke asiekuzingatia maigizo mengi na unyumba wa kuomba sana

Unagongewa– Saa hizi huku unacomment “my queen” Insta, kumbe kuna mtu anamwita “babe” kwenye Telegram. Hili haliepukiki asilimia 70 ya ndoa na mahusiano kwasasa yanapitia Hali hii

Utagongewa– Hujapitia, wala hutambui dalili, lakini kama huchelewi kuelewa dunia ya sasa ilivyo... utajikuta kwenye group chatunasomewa ujumbe wa “pole kaka, nilikuwa sina namna”.


Na cha kusikitisha zaidi ni kwamba wanaogonga si mbali – ni boy wake wa karibu, jamaa wa gym, boss kazini au ex wake aliyesema walimalizana zamani

Huu uzi ni wa kuweka ushuhuda, utani, na pia mafunzo – kama umewahi kugongewa, gonga comment.

Uligunduaje? Ulifanya nini? Ulikula block?

Au wewe ndiyo mgongaji mstaafu? Tukusikie!

Karibu kwenye uzi wa wanaume waliojeruhiwa kimya kimya... au wale wanaosubiri jeraha.

#UsikimbieMajiWakuu
#HiliDeniHalilipwi
Wanaume tunashawishi wanawke ila baada ya ushawishi kukubalika wanawke huishi kwenye huo ushawahi bila kukumbka nyuma Kuna Nini Cha mhmu kwke🥲🥲
 
Back
Top Bottom