uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
OkMwarabu
OkMwarabu
Mke anaumaMgongage nje nyie Tu mkigongewa inawauma kama mmefiwa!
Ila mume haumi?Mke anauma
vipi kuhusu unagongea?Shalom shalom
Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume.
Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona, kila siku, kila dakika.
Unajua kuna level tatu mtu unapitia kwenye hii ishu:
Uligongewa – Kama uliwahi kuwa na demu au akawa anazima simu kwa muda mrefu, anarudi na harufu ya cologne ya kiume, au unamkuta yupo online usiku wa manane lakini hakujibu meseji yako ya mchana... pole bro, ulipita huko, au mke asiekuzingatia maigizo mengi na unyumba wa kuomba sana
Unagongewa– Saa hizi huku unacomment “my queen” Insta, kumbe kuna mtu anamwita “babe” kwenye Telegram. Hili haliepukiki asilimia 70 ya ndoa na mahusiano kwasasa yanapitia Hali hii
Utagongewa– Hujapitia, wala hutambui dalili, lakini kama huchelewi kuelewa dunia ya sasa ilivyo... utajikuta kwenye group chatunasomewa ujumbe wa “pole kaka, nilikuwa sina namna”.
Na cha kusikitisha zaidi ni kwamba wanaogonga si mbali – ni boy wake wa karibu, jamaa wa gym, boss kazini au ex wake aliyesema walimalizana zamani
Huu uzi ni wa kuweka ushuhuda, utani, na pia mafunzo – kama umewahi kugongewa, gonga comment.
Uligunduaje? Ulifanya nini? Ulikula block?
Au wewe ndiyo mgongaji mstaafu? Tukusikie!
Karibu kwenye uzi wa wanaume waliojeruhiwa kimya kimya... au wale wanaosubiri jeraha.
#UsikimbieMajiWakuu
#HiliDeniHalilipwi
🤣🤣🤣 Atafte mnyonge amgongeeMgongage nje nyie Tu mkigongewa inawauma kama mmefiwa!
Andika vizur mkuuvipi kuhusu unagongea?
Na wewe wagongeeee kwanini uteseke. Kugongewa hakukwepeki kikubwa tumuombe Mungu tuShalom shalom
Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume.
Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona, kila siku, kila dakika.
Unajua kuna level tatu mtu unapitia kwenye hii ishu:
Uligongewa – Kama uliwahi kuwa na demu au akawa anazima simu kwa muda mrefu, anarudi na harufu ya cologne ya kiume, au unamkuta yupo online usiku wa manane lakini hakujibu meseji yako ya mchana... pole bro, ulipita huko, au mke asiekuzingatia maigizo mengi na unyumba wa kuomba sana
Unagongewa– Saa hizi huku unacomment “my queen” Insta, kumbe kuna mtu anamwita “babe” kwenye Telegram. Hili haliepukiki asilimia 70 ya ndoa na mahusiano kwasasa yanapitia Hali hii
Utagongewa– Hujapitia, wala hutambui dalili, lakini kama huchelewi kuelewa dunia ya sasa ilivyo... utajikuta kwenye group chatunasomewa ujumbe wa “pole kaka, nilikuwa sina namna”.
Na cha kusikitisha zaidi ni kwamba wanaogonga si mbali – ni boy wake wa karibu, jamaa wa gym, boss kazini au ex wake aliyesema walimalizana zamani
Huu uzi ni wa kuweka ushuhuda, utani, na pia mafunzo – kama umewahi kugongewa, gonga comment.
Uligunduaje? Ulifanya nini? Ulikula block?
Au wewe ndiyo mgongaji mstaafu? Tukusikie!
Karibu kwenye uzi wa wanaume waliojeruhiwa kimya kimya... au wale wanaosubiri jeraha.
#UsikimbieMajiWakuu
#HiliDeniHalilipwi
Ila mume haumi?
Mungu anahusikaje hapo Mkuu kwenye kugongewa 🙃🙃🙃Na wewe wagongeeee kwanini uteseke. Kugongewa hakukwepeki kikubwa tumuombe Mungu tu
huyu ajui kama yupo kwenye wanao Go ngewaWe upo KWENYE kundi la utagongewa Wanawake Dunia nzima akili ni Moja tu
Mambo mengine usiyape nafasi sana kwenye ubongo wako.Utawehuka.Jitahidi uipe nafsi yako furaha zaidi kuliko kujishtukia kwa ajili ya mtu ambaye umemkuta amekomaa magego.Shalom shalom