Wakuu mambo ni matatu tu: Uligongewa, Unagongewa, au Utagongewa!

Unauliza hayo maswali kwa mwanamke ambae hukumkuta bikra chief
Embu acha kuchosha akili yako na kupoteza muda
 
vipi kuhusu unagongea?
 
Na wewe wagongeeee kwanini uteseke. Kugongewa hakukwepeki kikubwa tumuombe Mungu tu
 
Kugongewa mpenzi sio inshu,mke anauma mwanangu

~baba vaileth(jirani)
 
Mwanaume agonge lakini sio mwanamke agingwe.
Hoja
1. Mwanaume hugonga nje kwa tamaa na akijitambua huacha mara moja
2. Mwanamke akigongwa nje hupeleka mapenzi na hisia huko. Madhara yake upendo hupotea kwenye familia na ndoa hugeuka kuwa ndoano.

Omba usigongewe wewe.
 
Mambo mengine usiyape nafasi sana kwenye ubongo wako.Utawehuka.Jitahidi uipe nafsi yako furaha zaidi kuliko kujishtukia kwa ajili ya mtu ambaye umemkuta amekomaa magego.
 
Kugongewa ni lazima
Kitu pekee ni ama usijue au lah!
Hivi viumbe ni vipo vizuri kwenye unafiki, hila, ghiriba na kuplay victim.
 
Sijawah kugongewa mke ila madem nimeshagongewa ila silaumu sana maana mim mwenyew nilkuwa nasababisha kugongewa

Unakuta demu hapati muda wa kutosha kuwa na mim,pia simhudumii mahitaj yake hata yale madogo madogo siunajua hawa watu wameshajiweka kwamba wao ni wa kuhudumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…