Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33

Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33

Apelekwe garage alafu baadae mnakuja kulia umu oooh hakuna mafundi gari wazuri bongo kumbe wenyewe ndio mnawapeleka akifeli shule
Wapi ambalo hakuna kilio kwa Tz ya sasa? Hao wasomi wapi wameipekeka nchi mpaka sasa?. Unafikiri mkuu anabarisha materio ya viongozi,anapenda? Vilio
 
Arudie form3 alafu alifika f4 aniandikishe kama private candidate...hapo kama atakua serious anaweza ondoka na kitu lakini akisema akarudie f4 atakula zero tena

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hivi inawezekana mtoto aliyefeli mtihani wa kidato cha nne kurudia kidato cha tatu ? vipi kuhusu namba ya mtihani wa kidato cha pili .... mimi najua habari ya kureseat au kufanya QT badae PC, huo utaratibu wa siku hizi wa kurudia kidato cha tatu Upoje ?
 
Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33.

Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri wakuu ana stress Sana hakutegemea hayo matokeo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Aende Jkt tu
 
Mfosie upolice Mkuu atapata then akipata ataangalia if anaweza kufanya kitu
 
Eti ana "ufaulu" wa ........

Hivi kwa alama hizo unatoa wapi uthubutu wa kuita ufaulu?

Sema amefeli kwa kupata.........
 
Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33.

Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri wakuu ana stress Sana hakutegemea hayo matokeo.
🙏🙏🙏🙏
hapo atasoma nini? maana hata cheti inatakiwa uwe na angalau D nne. mrudishe aanze form three kama kuna uwezekano huo na awe serious na shule
 
Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33.

Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri wakuu ana stress Sana hakutegemea hayo matokeo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pole mkuu wewe na mdogo wako, ila Kwa matokeo hayo sidhani kama ni kweli alikuwa anataka kusomea clinical officer maana inaonekana hajui ata vigezo vya kusoma clinical officer

ili mwanafunzi aweze kusoma clinical officer haijarishi amepata vipi matokeo lakini ni lazima awe amesoma somo la Physics, ila cha ajabu mdogo wako yeye hajasoma kabisa masomo ya science

Kwahiyo hadi hapo inaonekana alikuwa hajui anachokitaka, kufeli tunajua kupo na sometimes hutokea ata bahati mbaya ila mwanafunzi ambae hakutarajia matokeo hawezi kupata F zote hizo at least angepata D flat

Kwa lugha nyepesi ni kwamba mdogo wetu uwezo wake ndio ulikuwa umeishia hapo, cha kufanya Kwanza Mwambie vigezo vya kumuwezesha kusoma hiyo clinical officer aliyokuwa anaitaka

Na akijua vigezo sasa itabidi arudie form 3 kusoma masomo yote ya science, ila akifika form 4 ajiandishe kama private candidate na afanye mtihani wake, miaka 2 ni michache sana kwa mtoto mwenye Nia

Kwa matokeo hayo ataambulia kupata Chet ila kisichomsaidia kwa lolote maana ili usome chuo chochote kile inabidi uwe na pass kuanzia 3, sasa hapo mdogo wako ana pass 1 hivo hawezi kisoma kitu chochote labda aende shule za ufundi akatumie cheti cha darasa la saba
 
Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33.

Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri wakuu ana stress Sana hakutegemea hayo matokeo.
🙏🙏🙏🙏
🤣🤣🤣🤣Yaani amefaulu kiswahili tu
 
Mkuu tafuta namna arudie mitihani.
Kuanza upya si ujinga.

Tena hawa ambao wanarudia huwa wanakuwa serious sana na Mungu hufungua Baraka zake,hupata kazi kiurahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka veta 33 hiyo ni zero iliyochangamka
 
Back
Top Bottom