Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wadau hawajibu maswali ila wanakupa pole na ushauri yan kama umesema umesex na mwenye ukimwi asee.
Hahahahh hii ndo JF kaka itabidi tuvumiliane tu
 
Kuhusu hilo usijali siku hizi inaogopwa malaria na sio H.I.V
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…