Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza?

Watu hawana knowledge ya H.I.V lakini wanajibu tu, ili kuweza kumuambukiza mtu inategemea na wingi wa viral zilizopo mwilini, mtu aliyeambukizwa leo sio rahisi sana kumuambukiza mwingine leo leo kutokana na uchache wa viral waliopo mwilini, pia rapid test inaweza onyesha mtu aliyeambukizwa ndani ya mwezi mmoja,
Ushauri Tumia kondom kama hamjapima na kwa wale wenye HIV watumie dawa za kufubaza virus ili kujenga Afya zao..
 
Starehe mnazipenda ila mkiukwaa Ukimwi mnatia huruma.

UKIMWI UNAUA JIEPUSHE N UKIMWI.
 
Watu hawana knowledge ya H.I.V lakini wanajibu tu, ili kuweza kumuambukiza mtu inategemea na wingi wa viral zilizopo mwilini, mtu aliyeambukizwa leo sio rahisi sana kumuambukiza mwingine leo leo kutokana na uchache wa viral waliopo mwilini, pia rapid test inaweza onyesha mtu aliyeambukizwa ndani ya mwezi mmoja,
Ushauri Tumia kondom kama hamjapima na kwa wale wenye HIV watumie dawa za kufubaza virus ili kujenga Afya zao..
Ushauri mzuri sana boss but mi nadhani njia sahihi ni kuapply 3 prevention rules.

1.Pima ukimwi kabla ya sex (pima kwa kutumia vile vidude vya kupimia fasta)

2.No oral foreplay (hakuna kukisiana au kunyonyana maeneo Yale and no romance pia.

3.Use rubber( tumia condom na uitumie vizuri)
N.B ikitokea condom imeburst nenda hospitali kachukue na umeze PEP

MI NADHANI HAPA KWA KIASI KIKUBWA SANA UTAKUWA UMEJILINDA PLUS NI MUHIMU SANA KUWA WAAMINIFU KWA WAPENZI WETU YAANI MKE NA MUME WAWE WAAMINIFU NA KUEPUKA ZINAA KWA UJUMLA.
 
Back
Top Bottom