Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Kama una kadi ya CCM mcheki member anaitwa komredi Lucas Mwashambwa ili akupe mwongozo.
 
Karibu kamanda JF Kuna fursa na connection kibao tena kwa wewe model na comedian tunakuunganisha na sanii la kimataifa Muimba SINGELI mpige hela
Kaka yote kheri mkuu tuombe uzima ila kinacho nisikitisha ni Imani ya waja juu ya modeling na ushoga, si kweli kila model ni shoga hiyo ni kazi kama kazi zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…