Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Karibu JF
 
Ok karibu naamini huyu kwenye picha ni wewe
Screenshot_2025-08-21-07-08-40-124_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg

Pambania unachokiamini
 
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.

Ujinga tu. Unaleta upuuzi kwenye JF ina watu wenye akili. Huchekeshi, hufai kwa modelling ni kilaza tu.
 
Kanisikitisha sana hiyo ni ajira asishangae kesho mwanae akajoin the chain
Mwanangu hawezi kufanya hiyo kitu mbele yangu nikiwa hai.....

Wengi wanaofanya hizo sijui inakuaje wanajihusisha na ushoga, kuna dogo mmoja shuleni alikua anafanya hizo mambo alikua kijana tu fresh siku za graduation ndo anaandalia wenzie mavazi ya fashion show....mmh kamaliza tu shule nmekutana nae mtaani wala hauulizi "Aviola huyu hapa"

We mwenyewe hapo kwenye picha mwanaume umetinda nyusi.

Hapa bongo kina martin kadinda, yule sijui nani wa wasafi aaagrrr hii kazi ni kazi ila hapana
 
Hapana dada angu jukumu langu nikubadilisha fijra zenu zamani watu waliamini mziki ni uhuni ila Leo ni ajira. Ukiona mziki umefika hapo basi jua Kuna watu nyuma walipambana fijra kinzani hadi Leo hii wewe unasikiliza ukiwa na familia yako.

Asante na karibuuu
 
Ujinga tu. Unaleta upuuzi kwenye JF ina watu wenye akili. Huchekeshi, hufai kwa modelling ni kilaza tu.
Mungu akubariki muelevu ila usimtukane mamba huja vuka mto kaka,ungekua unajielewa unge toa hoja zako nizijibu sio kutukana huenda huna elimu na mitindo kama ungekua na elimu unge toa hoja ila umetukana, nimeingia kipindi kugumu kipindi ambacho mastaa wa fashion ni wakina noel na anko t ni ngumu jamii kukuelewa mtaka cha uvunguni sharti uiname sina budi.

Asantee na karibuuu
 
Karibu JF
Asante sana kaka unaonekana una busara sana wengi wanatukana eti ushoga fashion ina mambo mengi. Marais wetu wa nchi kipindi hicho sijui sasa, walikuwa Wana fanyiwa design na ngowi je hawakufikiria ushoga? Au ni elimu ya mitindo Wana jf hawana?

Asante kaka mshana naomba elimisha hao wanao amini kila fashionista ni shoga

Asante na karibuu
 
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Tuchekeshe tukuamini basiii..
 
Nasubiri utuchekeshe
Usijali ila name shitushwa na uelewa wa mambo humu kwa watu intelligence kama nilivo aminishwa, maraisi wa nchi Wana watu wa fashion kupangilia mavazi yao, intelligence wa humu wanadai ni ushoga kazi kweli kweli nilitegemea hayo wazungumze wasio na elimu ila humu nmepata mashaka sana na watu walio humu,

Asante na karibu
 
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.

Mara nyingi wana mitindo na models wanakuwa mabwabwa.
 
Back
Top Bottom