Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Sawa dada angu flaviana matata alikutana na trump na kusema name machache unazani flavi alienfa kwa trump kama nani, ni Marais wangapi wanaitaka hio fursa?


Asante na karibu
Wanawake hamna shida, shida ipo kiumeni....kiukweli niliowaona mie na ninao wajua wengi ni 🌈
 
We mwenyewe hapo kwenye picha mwanaume umetinda nyusi.
Habari yako 😂😂
IMG-20250821-WA0016.jpg
 
Mwanangu hawezi kufanya hiyo kitu mbele yangu nikiwa hai.....

Wengi wanaofanya hizo sijui inakuaje wanajihusisha na ushoga, kuna dogo mmoja shuleni alikua anafanya hizo mambo alikua kijana tu fresh siku za graduation ndo anaandalia wenzie mavazi ya fashion show....mmh kamaliza tu shule nmekutana nae mtaani wala hauulizi "Aviola huyu hapa"

We mwenyewe hapo kwenye picha mwanaume umetinda nyusi.

Hapa bongo kina martin kadinda, yule sijui nani wa wasafi aaagrrr hii kazi ni kazi ila hapana
Afu eti amechuchumaa... Atakunya
 
Usijali ila name shitushwa na uelewa wa mambo humu kwa watu intelligence kama nilivo aminishwa, maraisi wa nchi Wana watu wa fashion kupangilia mavazi yao, intelligence wa humu wanadai ni ushoga kazi kweli kweli nilitegemea hayo wazungumze wasio na elimu ila humu nmepata mashaka sana na watu walio humu,



Asante na karibu
Watu wa humu hawana tatizo kabisa, ndivyo walivyo. Umeleta mambo ya istagram huku ndo maana wanashangaa
 
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Humu mkuu ukifika tu kama kazi zako zinaeleweka kama hivyo ulivyosema wewe ni mchekeshaji basi unapost kichekesho tuone kama tutacheka kweli! Tusipocheka lazima ujiondoe kwenye jamvi maana utakuwa hujakidhi vigezo!
 
Watu wa humu hawana tatizo kabisa, ndivyo walivyo. Umeleta mambo ya istagram huku ndo maana wanashangaa
Unamaana hawana Instagram kweny simu zao na wanajiandaa kuwa viongozi watatatuaje mambo ya watu kama wao tu hawako kwenye circle ya watu?


Asante na karibuu
 
Kwani hamna mwalimu shoga alie shikwa juzi, na mapolisi kama wa Zanzibar je? Bas mwanao asiwe polis na mwalimu eti

Asante na karibu
Mbona hautaki kuupokea ukweli??? Hebu tolea mifano kwenye hiyo industry ya uanamitindo..... Kina martin kadinda, yule modo wa diamond ana jina la kichaga hivi n.k nk wasemee hao
 
Back
Top Bottom