prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
- Thread starter
- #101
Pamoja kaka nashukuru sana kwa Dua yako njema naomba mungu akusimamie kazi zakoOmba Blue tick kabisa ila usitick oktoba
Asante na karibuu
Pamoja kaka nashukuru sana kwa Dua yako njema naomba mungu akusimamie kazi zakoOmba Blue tick kabisa ila usitick oktoba
Bro thanks mungu akufungulie na we pia kwenye shughuli zako akupe afya njema akukinge na ya Dunia mkuuit's a hard knock life, pambania ndoto yako
Inawezekana hata wanaokutania ni ndugu zako mkuu 😅.Mkuu Nina familia Nina wazazi Nina ndugu wanani angalia inabidi Kuna mambo mengine tufikirie vizuri, Mimi nikisema nishushe matani humu napigwa ban ya maisha hutoniona Tena ila mi na kuwa ni utani tu sema naamini hao hawatavumilia mkuu. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu linaumiza Hilo usinipige nalo
Asante na karibuu
Hapa bado haujakutana na watakao kutaka uthibitishe uwepo wa Mungu bwashee 😅Bro thanks mungu akufungulie na we pia kwenye shughuli zako akupe afya njema akukinge na ya Dunia mkuu
Asante na karibuu
Tafadhali sana nakuomba usitick Oktober,sawa mdogo angu?Pamoja kaka nashukuru sana kwa Dua yako njema naomba mungu akusimamie kazi zako
Asante na karibuu
Ila hapa umeongea ukweli, uko sahihi sana.Nimekaa nafasi ya mzazi kabisa, mimi kama mzazi hii kazi ni nzuri watu wanajiajiri ila vijana weeengi wanaoifanya ni magay ukweli utabaki kuwa ukweli.
Nilisikitika kumuona kijana model aliekua anawabunia mavazi wenzie shuleni yeye kaingia mtaani siku namuona ni punga yani kajiweka kike huulizi. Inasikitisha
"Una familia"Mkuu Nina familia Nina wazazi Nina ndugu wanani angalia inabidi Kuna mambo mengine tufikirie vizuri, Mimi nikisema nishushe matani humu napigwa ban ya maisha hutoniona Tena ila mi na kuwa ni utani tu sema naamini hao hawatavumilia mkuu. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu linaumiza Hilo usinipige nalo
Asante na karibuu
Ni kweli mkuu ndugu yako akushikie bastola akupige kwa bahati nzuri ikukose ufaiti uishike wewe uta mrudishia akumalizie kisa ni ndugu yako mkuuInawezekana hata wanaokutania ni ndugu zako mkuu 😅.
Kiufupi wewe umekubali kujaa kwenye mfumo wao bwashee 😅
Waelimishe tyuuu mkuu, ndivyo walivyo, wazoeee.Cocastic nimekuja kujitambulisha kwa Nia njema nashangaa naitwa shoga, dah nikaambiwa hiyo kazi ni ya mashoga, nikajiongeza na ongea na watu wasio na elimu ya fashion kila elimu ina kitengo chake hao hawana pia hawataki kueleweshwa. Marais wa nchi Wana wabunifu wao wamavazi je nao husapoti ushoga? Nikajiongeza tu hao wanaitaji kuelimishwa
Asante na karibu
Hii ni mbaya sana bwashee 🥲 ungeweka ka video hata ka moja ka kuchekesha master 🤔Ni kweli mkuu ndugu yako akushikie bastola akupige kwa bahati nzuri ikukose ufaiti uishike wewe uta mrudishia akumalizie kisa ni ndugu yako mkuu
Asante na karibuu
Hao ni wazuri na Nina wataka sababu hawaja nivua nguo kwenye hadhira ya watu, neno shoga kwa Mila za kiafrika ni Bora unipige ngumi ya jicho si mtu kuniita shoga, wajipange hasa jamii forum sitoki labda nitolewe ila kunishika makalio kwa kigezo cha niwe mvumilivu natoa onyo Sito weza tell them moto haulambwi. Min me, neno shoga si lakumtania mtuHapa bado haujakutana na watakao kutaka uthibitishe uwepo wa Mungu bwashee 😅
Hii ndio jf mkuu vumilia tu
Kweli ni mbaya sana bwashee,ila potezea tu muhimu wewe unajijua sio shogaHao ni wazuri na Nina wataka sababu hawaja nivua nguo kwenye hadhira ya watu, neno shoga kwa Mila za kiafrika ni Bora unipige ngumi ya jicho si mtu kuniita shoga, wajipange hasa jamii forum sitoki labda nitolewe ila kunishika makalio kwa kigezo cha niwe mvumilivu natoa onyo Sito weza tell them moto haulambwi. Min me, neno shoga si lakumtania mtu
Asante na karibu
Huu Uzi ni wakujitambulisha kuweka ka video Kuna utaratibu wake kazi zangu nazifanya ki profeshino mkuu. Niki sema niweke video ovyo tashusha bland takuwa naridhisha watu na si kazi kaka. Tatoa utaratibu wa kazi zangu soon stay tuned kakaHii ni mbaya sana bwashee 🥲 ungeweka ka video hata ka moja ka kuchekesha master 🤔
Sawa sawa masterHuu Uzi ni wakujitambulisha kuweka ka video Kuna utaratibu wake kazi zangu nazifanya ki profeshino mkuu. Niki sema niweke video ovyo tashusha bland takuwa naridhisha watu na si kazi kaka. Tatoa utaratibu wa kazi zangu soon stay tuned kaka
Asante na karibuuu
Nikiwa star mkubwaa tapewa ubalozi wa makampuni makubwa na madogo, neno shoga linaweza nikosesha ulaji nikanyimwa ubalozi, nikisema nipotezee itani haribia keria yangu na watao taka wekeza kwa jina langu na taswira yanguKweli ni mbaya sana bwashee,ila potezea tu muhimu wewe unajijua sio shoga
Ndio ndio mkuuNikiwa star mkubwaa tapewa ubalozi wa makampuni makubwa na madogo, neno shoga linaweza nikosesha ulaji nikanyimwa ubalozi, nikisema nipotezee itani haribia keria yangu na watao taka wekeza kwa jina langu na taswira yangu
Asante na karibuuu