Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Waelimishe tyuuu mkuu, ndivyo walivyo, wazoeee.
Punda hawezi kwenda kwa kuelimishwa tu kwa maneno inahitaji u take action, sa najiuliza nikisema niwajibu kifedhuli watani vumilia? Poa tuseme wanani Tania nikisema niwatanie kupitia kipaji changu cha uchekeshaji watani vumilia?



Asantee na karibuuu
 
Kazi za kimama hzi
Hapana mkuu habari lakini, fashion ni uwanja mpana kaka rais wako unaemtegemea na jopo lake Wana watu wa fashion wakina trump usizani wanajivalia tu hapana kaka fashionista wako nyuma yao wapanga mavazi, fashionista anamtegemea modo atangaze nguo zake ili zionekane, umama uko wapi hapo, mbona jezi za simba na yanga msiwashauri maboss wenu wawatumie mamama tu sababu n kazi yao kwa uelewa wko?


Asante na karibuu
 
Ila hapa umeongea ukweli, uko sahihi sana.
@ Evelyn salt dada . Hii kazi , neno Hilo sio sahihi, una chuki binafsi, nikuulize swali dogo tu, unakumbuka mwalimu aliekutwa analiwa na mwanafunzi wake Tena kadai si mara Moja ni michezo yao, je afande wa Zanzibar unakumbuka? Una maanisha utazuia mwanao asiwe polis au mwalimu kisa Kuna watu wa hiyo taaluma walilawitiwa Tena ndo michezo yao?
 
Uanamitindo haukufai .

Haujakaa kiuanamitindo ,mwili haukuruhusu .

Hata nguo ulizovaa ni midosho.
Labda atuonyeshe comedy zake tuzione kama kweli anajua atapata connection apelekwe cheka tu au kundi lolote afike angalau level za wakina Steve na Ndaro
 
@ Evelyn salt dada . Hii kazi , neno Hilo sio sahihi, una chuki binafsi, nikuulize swali dogo tu, unakumbuka mwalimu aliekutwa analiwa na mwanafunzi wake Tena kadai si mara Moja ni michezo yao, je afande wa Zanzibar unakumbuka? Una maanisha utazuia mwanao asiwe polis au mwalimu kisa Kuna watu wa hiyo taaluma walilawitiwa Tena ndo michezo yao?
Uzuri unajua sana kujieleza na una uwezo mkubwa wa hoja,utafika mbali.
 
Labda atuonyeshe comedy zake tuzione kama kweli anajua atapata connection apelekwe cheka tu au kundi lolote afike angalau level za wakina Steve na Ndaro
Ni jambo jema kaka nashukuru kwa bahati mbaya sipo kwa ajili ya kufika pale walipo kina ndaro sijui na wengineo, sibezi ila kuachia kazi Kuna utaratibu wake si unavotaka wewe mkuu naheshimu utaratibu kama ambavyo mtu anaejielewa huwezi kula bila kunawa



Asante na karibuu
 
Back
Top Bottom