prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
- Thread starter
- #21
Jasiri mpenda mafanikio haogopi changamoto insta ni kugumu kuliko humu kule population ni kubwa pressure pia ni kubwa kaka, kuvunjwa moyo ni kwa wageni wa maisha si Mimi mzoefu wa kupamnanaRudi Instagram huku utavunjwa moyo Sana Kwa kazi yako, huku sio