Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Hii Bongo ukimwambia mtu mimi ni mchekeshaji , Utaulizwa tuchekeshe sasa
Ila ukimwambia mimi ni Killer
Hawezi kuuliza , niue sasa?
 
Cocastic nimekuja kujitambulisha kwa Nia njema nashangaa naitwa shoga, dah nikaambiwa hiyo kazi ni ya mashoga, nikajiongeza na ongea na watu wasio na elimu ya fashion kila elimu ina kitengo chake hao hawana pia hawataki kueleweshwa. Marais wa nchi Wana wabunifu wao wamavazi je nao husapoti ushoga? Nikajiongeza tu hao wanaitaji kuelimishwa

Asante na karibu
Unamsimulia mwandamizi au sio 😂😂😂
 
Huku kama huna ngozi ya chui utatoka vidonda vya tumbo huku sio instagram naona wadau wameanza kukupopoa mapema tu 😁😁😁
 
Mpaka dk hii sijaona ulichoandika cha kuchekesha wewe deal na modeling utatoboa kuchekesha huwezi
 
Modo unadeka sana kwahiyo kuambiwa ukweli ndo kutokujua malezi.

Mtoto kautaka.....
Huwezi kulea ukiona watoto wako Wana hekima basi jua ni juhudi za mfanyakazi kaokoa jahazi we unafaa ufugaji kuku na nguruwe dada angu samahani usipaniki lakini ni utani tu ukipaniki basi yaliyomo yamo

Asante na karibuu
 
Sasa hizo ndo kazi za maana kufanywa na mtoto wa kiume, lisha makitimoto, piga kitimoto nyundo ya kichwa karuka chinja, nyoa kata nyama kauze.

Lisha kuku beba gunia la chakula, chinja kuku peleka oda.

Sio kupita jukwaani mkono kiunoni na kipensi kifupi.
 
Back
Top Bottom