X factor
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,436
- 2,298
Kha! kumbe wewe ndiyo moja ya wale vijana wanaoamini siasa haiwahusu? Kila mmoja siasa inamhusuHahaha kibaya zaidi si mtu wa siasa kabisa kaka
Asante na karibuu
Kha! kumbe wewe ndiyo moja ya wale vijana wanaoamini siasa haiwahusu? Kila mmoja siasa inamhusuHahaha kibaya zaidi si mtu wa siasa kabisa kaka
Asante na karibuu
Hapana kaka muda wa Kura ukifika napaiga kura kama nitajaaliwa na mungu lakini Yale mambo sijui huyu kufanya hivi na huyu kufanya hivi simo. Nilipokia Dodoma Kuna jamaa yangu aliekuwa ni upinzani sna kila muda yeye na hotuba ilipofika uchaguzi nakumbuka 2020. Kila Niki mwambia twende tukapige kura anachenga mwisho nikagundua jamaa Hana ata kitambulisho cha upigaji kura kumbe kelel za Bure tuKha! kumbe wewe ndiyo moja ya wale vijana wanaoamini siasa haiwahusu? Kila mmoja siasa inamhusu
Nashukuru mkuu naheshimu maonii ya kila mtu, huo ni mtazamo wako tu haya ndo maisha yalivo, sikuzuii kufikiri tofauti akili isije dumaa inabidi tufikirie na nje zaidi nashukuru kumtuhum mtu bila kuwa na ushahidi. naomba usamehewe pengine unataka kuchekesha watu we na mwenzio ila amini unacho kiandika hapa akifutiki kwenye fijra za watuEti mchekeshaji!
Na nyumba ya wageni umuelekeze.Karibu kijiweni; mimi ni mwandamizi wa miaka 20 sasa hapa kijiweni. Ukiwa na swali usiste kuniuliza. Nitakupa majibu yote, yaani wapi maliwatoni, wapi kwenye supu nzuri na wapi kwenye ubwabwa mzuri.!
Sawa mkuu Nina swli dogo tu, kama huto jaliNa nyumba ya wageni umuelekeze.
Mungu akubariki muelevu ila usimtukane mamba huja vuka mto kaka,ungekua unajielewa unge toa hoja zako nizijibu sio kutukana huenda huna elimu na mitindo kama ungekua na elimu unge toa hoja ila umetukana, nimeingia kipindi kugumu kipindi ambacho mastaa wa fashion ni wakina noel na anko t ni ngumu jamii kukuelewa mtaka cha uvunguni sharti uiname sina budi.
Asantee na karibuuu
Ebu tuchekeshe kidogoHabari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Na nyumba ya wageni umuelekeze.
Asante na karibuUjinga tu wewe si mamba ni kenge
Kaka sijapewa kibali kaka, nikipewa kibali utacheka sana mpaka mbavu zichomoke🤣 onyo uchekaji sana kupitia kiasi ni hatari kwa afya yako Sito husika na uvunjikaji wa mbavu za mtu,,,, tigo,,,,, express yourselfEbu tuchekeshe kidogo
Kaka samahani kidogo ushawahi kupata ajali au kugongwa na kitu chochote kichwaani? Mana vipimo vimeonesha una hitilafu kichwaani🤣🤣🤣Ujinga tu wewe si mamba ni kenge
Tuonjeshe kidogo kaka sisi wengine ndio burudani yetu hiyo wale wa vibali hawakuoni humuKaka sijapewa kibali kaka, nikipewa kibali utacheka sana mpaka mbavu zichomoke🤣 onyo uchekaji sana kupitia kiasi ni hatari kwa afya yako Sito husika na uvunjikaji wa mbavu za mtu,,,, tigo,,,,, express yourself
Asante na karibuuu
Hahaha Kaka usiwaze stay tuned Wala usihofu nipe muda niweke mambo sawaTuonjeshe kidogo kaka sisi wengine ndio burudani yetu hiyo wale wa vibali hawakuoni humu
Usiwaze kaka mungu akijaalia kwenye harusi yako nishirikishe nikusukie vazi unforgettable mkuuTushonee joho la mahafali ya chuo sisi Wembamba, maana fashionista muanzilishi alitutenga sana yaani😥
Haya tuchekeshe mkuu ili tuamini wanabodi tushajaa ukumbini.Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Kaka sahixi tunge kuwa tunacheka tu ila sema waja humu wakani andama Tena hivo nmetumia muda mwingi kwenye malumbanoHaya tuchekeshe mkuu ili tuamini wanabodi tushajaa ukumbini.
Nyadikwa kwa niaba ya watengwa
We ulishawahi kalia kitu chochote butu kikakuingia? Maana vipimo vinaonesha una hitilafu katika nyumba ya uzazi.Kaka samahani kidogo ushawahi kupata ajali au kugongwa na kitu chochote kichwaani? Mana vipimo vimeonesha una hitilafu kichwaani🤣🤣🤣
Asante na karibuuuu
Vichekesho vipo kwa wenye faraja ndgu, ukiwa na stress hucheki.Watu wana stress za hatari ndo maana tasnia ya uchekeshaji ina wateja wengi.... imagine mtu ana mkopo wa kausha damu halafu ni mfuasi wa Mbowe hali yake ikoje?