prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
- Thread starter
- #241
Kaka mbona umeshupalia inshu ya ubwabwa Huwa mnafanywa nini,maana ukiona mtu ameweka kitu akilini sana jua tu anakipenda sasa nyinyi mnanifikirisha sana sijalala usiku kucha nafikiria hivi Hawa mbona bwabwa liko akilini Huwa wanafanyana nini Hawa?Haka ni ka bwabwa kanajitangaza
Asante na karibu