Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Asante sanaaaaaa kaka Alex umeweka mizania sawaaSiwezi kuwa na mdogo wangu modo hata siku Moja nikitambua tu namfukuza na ni marufuku kukanyaga kwangu
Fullstop, kwishaaaa
Asante sanaaaaaa kaka Alex umeweka mizania sawaaSiwezi kuwa na mdogo wangu modo hata siku Moja nikitambua tu namfukuza na ni marufuku kukanyaga kwangu
Fullstop, kwishaaaa
Kuna jamaa alikua amekomaa eti na I'd mbili siku MUELEWA kumbe ndo alimanisha hiyo. Sija wahi tinda nyusi, sivai midosho, mi na kofia kichwani paka na panya, cheni ni irizi YANGU kila unionapo lazima new na cheni shingoni, sikumbuki lini nilivaa kofis mara ya mwishooAsante sanaaaaaa kaka Alex umeweka mizania sawaa
Ndio ivyo wadau wengine hawakawii kuhisi ni li parody LAKO.Kuna jamaa alikua amekomaa eti na I'd mbili siku MUELEWA kumbe ndo alimanisha hiyo. Sija wahi tinda nyusi, sivai midosho, mi na kofia kichwani paka na panya, cheni ni irizi YANGU kila unionapo lazima new na cheni shingoni, sikumbuki lini nilivaa kofis mara ya mwishoo
Fullstop, kwishaaa
Mpango wa kuwa na I'd mbili ni muhimu ila sio kujianika hivo, alafu mi Nina atmost forty huyo hapo mtoto hata thirty hajatinga uhakikaNdio ivyo wadau wengine hawakawii kuhisi ni li parody LAKO.
Kumbe hata sio wewe.
Wanaishia kufumuliwa vibogaNi modeling n fashionista? Kila la kheri kwako.
Ubarikiwe sanaa.
Sina hakika sanaaa.Wanaishia kufumuliwa viboga
Hao kufumuliwa Malinda ni kawaida Kuna dogo nmesoma nae chuo dah tumepotezana miaka mitano kujakuonana kajicream ila jinsi ya kutembea na mikaao kwenye kiti ilinishtua ni modo nayeSina hakika sanaaa.
Hukumtongozaa? 😂😂😂😂Hao kufumuliwa Malinda ni kawaida Kuna dogo nmesoma nae chuo dah tumepotezana miaka mitano kujakuonana kajicream ila jinsi ya kutembea na mikaao kwenye kiti ilinishtua ni modo naye
Fullstop, kwishaaa
Hao kufumuliwa Malinda ni kawaida Kuna dogo nmesoma nae chuo dah tumepotezana miaka mitano kujakuonana kajicream ila jinsi ya kutembea na mikaao kwenye kiti ilinishtua ni modo naye
Fullstop, kwishaaa
Hahahahahaa ni kavulana tulikuwa na washkaji tumemuweka mtu kati nilimtania tunako elekea unaenda badili jinsia akawa anacheka ila hapo kugeuzwa ni uhakika alietusanua ni ndugu yakeHukumtongozaa? 😂😂😂😂
Ally Remtula, Martin Kadinda na wengine wengi. Vipi wewe hufanyi modelling?Sina hakika sanaaa.
Kwahiyo kwa sasa hutaki kuwanufaisha??
Na taratibu za kutoka huko zikoje, naweza kua meneja wako tukafanya kazi vizuri kabisa bila shaka.
Mkuu nashukuru sana ukitaka kuwa meneja wangu sijui we upo wapi? Pia nataka nijisimamie mwenyewe ILI niwe huru kuhusu wao ni hawawajibiki ipasavyo mfano kwenda location kushoot wao hawatekelezi kwa wakakat?Kwahiyo kwa sasa hutaki kuwanufaisha??
Na taratibu za kutoka huko zikoje, naweza kua meneja wako tukafanya kazi vizuri kabisa bila shaka.
jinga kabisa hili!Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.
Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Kama babaa yaakojinga kabisa hili!
Mmmmmh.....! Hiyo fani ya mitindo huwa vijana waliomo wanakuwa na utata mwingi hasa upande wa sexual preferences ila dah ngoja nisikimbilie ku-judge.Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.
Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
🤣🤣🤣🤣Bila shaka kwenye hiyo Modeling unayoifanya ndio kichekesho chenyewe.
fani ya ualimu huwa na mashaka nayo kila nikikimbuka yule mwalimu alie kuwa anapumuliwa nyuma na mwanafunzi wake hivyo usigeneralise jambo kisa watu wachacheMmmmmh.....! Hiyo fani ya mitindo huwa vijana waliomo wanakuwa na utata mwingi hasa upande wa sexual preferences ila dah ngoja nisikimbilie ku-judge.
Mungu akubariki muelevu ila usimtukane mamba huja vuka mto kaka,ungekua unajielewa unge toa hoja zako nizijibu sio kutukana huenda huna elimu na mitindo kama ungekua na elimu unge toa hoja ila umetukana, nimeingia kipindi kugumu kipindi ambacho mastaa wa fashion ni wakina noel na anko t ni ngumu jamii kukuelewa mtaka cha uvunguni sharti uiname sina budi.
Asantee na karibuuu
Mwalimu, probably one in a zillion lakini models it's big to the hell NO. This shit is global in case you don't know.fani ya ualimu huwa na mashaka nayo kila nikikimbuka yule mwalimu alie kuwa anapumuliwa nyuma na mwanafunzi wake hivyo usigeneralise jambo kisa watu wachache
Usha wahi kaa nao mkuu ukaigundua hiyo harufu?View attachment 3477936
Hao vijana uliowataja kama reference umejitukana sana, wanasabisha harufu isiyofaa.