Samahani kwa kuingilia mazungumzo kuhusu modeling model hawaaangalii uzuri wa sura atakula za uso wakizungumzia African model mara nyingi wana target watu weusi sana hapo ndio wa sudani wanapotupiga nikama basketball watu warefu wanaadvantage sana model mweupe tena africanism ni huku tu ila kwenye majukwa makubwa Kama Gucci wakna Louis Vuitton happy wanataka sura nyeusi Sana za kikenya Sudan Uganda yang black Jada wembamba warefu mkuu hao wanathamani sana sio uzuri wa sura wazungu washatoka huko sorry kwa interaction