Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Mungu akulinde, akusaidie pia ifanikiwe na utoke salama
 
Aisee pole kumbe ni serious kiasi hiki!!! Mungu atakusaidia utatoka salama na kwa mafanikio, na vocha ukatoa katika hali yako hii hii dah kuna watu mmepewa roho kubwa sana,
 
Mungu wetu wa Mbinguni atakurudisha

Usiogopeee Ndio neno na ulushujaa nalokuachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…