mimahsuley20
Member
- Aug 16, 2016
- 29
- 33
Nakuombea kwa Allah upone urud ukiwa mzma wa afya tele inshaallah utakuwa sawaHabari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya muda.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo.
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili. Madaktari wamesugget nifanye hiyo.
Mniombee sio tu nitoke salama. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my OPPO A83 using JamiiForums mobile app