makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kila la kheri lee, mungu akufanyie wepesi, Insha'allah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu.Amen 🙏 🙏🙏,.
Naomba niwajibu tu wote kwa pamoja maana nikisema zote mojamoja nitakesha,.
Niliweka uzi humu kua nimeumwa sana Malaria and for almost miezi inaenda minne sasa tangu dawa na sindano za malaria ziniaffect masikio pamoja na uono hafifu,.
Tulipambana sana walau jicho moja liko vizuri kabisa lakini moja ndio halioni pamoja na masikio hayasikii kabisa,.
Nimefanya vipimo vyote,. Baadhi ya mishipa ya fahamu ya macho na masikio imezibwa na ukungu,.. Inabidi izibuliwe
Kwa waliouliza Hospitali ni Hospitali ya private
Pole rafiki😔Amen 🙏 🙏🙏,.

Pole sana, ukapone mama.Amen 🙏 🙏🙏,.

🙏Kwanguvu kuu ya Asili naukaishi tena ukiwa na Afya njema.
Roh yak ipojeAisee pole kumbe ni serious kiasi hiki!!! Mungu atakusaidia utatoka salama na kwa mafanikio, na vocha ukatoa katika hali yako hii hii dah kuna watu mmepewa roho kubwa sana,
Ni kwel, sisi akina baba haya ni mambo ya msingi kujua. Hospital gani???Vitu kama hivi tunapenda kuhoji japo wengine wanaona sio sawa! Ni hospitali ya private au government?