Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Ni op ya kawaida, kwa umahiri wa Madaktari wa Hiyo fani Hapa nchini wakiongozwa na Mwenyezi Mungu mwambie shemeji aandae tu supu ukitoka theatre uikute maana utatoka Salama salmini. Kila la heri
 
Mungu ni mwema naamini ulitoka salama, Mungu azidi kukuimarisha uwe mzima kama ulivyokuwa mwanzo, Amen
 
Mungu atakusimamia utapona vizuri tu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mungu akupe nguvu upone mapema urejee ukiwa afya njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ