Mkuu , 1- alikua kupitia Mfumo wa hapo Kwa muajiri wake, maana kizaa zaa Bwana Mdogo aliwabishia.. utumishi wakawa wanamwambia Pesa amelipwa, Dogo ànasema hajalipwa, akawaambia wamuonyeshe kupitia Mfumo Mahali panapoonyesha kalipwa, Moja ya mtumishi akaingia kwenye Mfumo, kweli Salary status inaonyesha Kalipwa, na alipoingia Ndani zaidi akasoma taarifa yote ya kulipwashahara Tarehe, muda n.k.
Bado Utumishi wakaendelea kumwambia wee umelipwa.
Ndipo Dogo akasema ,wamuonyeshe akaunti inayopokea Hela..hapo ndipo akagundua akaunti sio yake, na utumishi wakaibadilisha hapohapo muda huohuo .
Maswali mengine hayo siwezi Yajua.
Ila kama ujuavyo, Ajira mpya Kila kitu hutegemea Documents za muajiriwa.