Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
-
- #21
Hili kumbe pia linawezekana .Aende mahakama ya kazi mkoani na vielelezo vyote!asihangaike na maafisa utumishi watamsumbua sana jamaa!!
Nenda na vielelezo uwaeleze umefanya KAZI Bure halafu wakulipe Hela zote walizochukuae
Hawatoboi washenzi hao!!
Nimechukia sana aiseh!!
Nina maswali haya;Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika namba ya kaunti mwenyewe Kwa kunikosea.
Zaidi japo sijaielewa hii imekaaje, anasema Mishahara yake inaonekana inaingia yaan kwenye Mfumo anaonekana mshahara unalipwa vizur, ila haupati yeye kwakua Akaunti namba sio yake.
Ofisi ya utumishi wamedai inawezekana wao ndio walikosea kuingiza namba hiyo.
Ushauri nilompa, nikuandika Barua Kwa DED akimuomba uchunguzi wa suala Hilo.
Je GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Je haya sio mambo ya Akaunti hewa Enzi za JPM??.
Je achukue hatua gan?.
Wa kupimwa wewe..!!!Mistake ndogo ndogo tu
Mkuu , 1- alikua kupitia Mfumo wa hapo Kwa muajiri wake, maana kizaa zaa Bwana Mdogo aliwabishia.. utumishi wakawa wanamwambia Pesa amelipwa, Dogo ànasema hajalipwa, akawaambia wamuonyeshe kupitia Mfumo Mahali panapoonyesha kalipwa, Moja ya mtumishi akaingia kwenye Mfumo, kweli Salary status inaonyesha Kalipwa, na alipoingia Ndani zaidi akasoma taarifa yote ya kulipwashahara Tarehe, muda n.k.Nina maswali haya;
1. Huo mfumo unaoonyesha kwamba mshahara unaenda kwake ni mfumo gani? Mfumo wa benki au wa mahala alipoajiriwa?
2. Kila account ina jina, hiyo namba inayopokea mishahara, ina jina la nani? Au kama si jina lake, jina linaloonekana ni la nani?
3. Kila account inayofunguliwa benki ina zile documents tunazojaza wakati wa kuifungua, documents za account hiyo inayopokea mshahara wake, zimejazwa na yeye?
4. Kwenye hiyo account, hela inapowekwa huwa zinatolewa? Eidha kupitia dirishani, ATM, internet banking au SIM banking. Kama huwa zinatolewa, nani huwa anatoa?
Nini akifanye Mtaalam kupata Haki yake?.Mkuu mifumo yetu inabadilishwa kila kukicha, hatupo Consistency.
Bank wanafanya miamala kulingana na Account number, na huwa hamna control ya Jina. Ni taasisi chache ambazo document zao kwenye malipo ili Pesa iweze kuingia ni LAZIMA Jina na Account number vifanane.
Serikalini hili ni tatizo ambalo HAWATAKI kulitatua kwakua kuna wajanja wanapiga pesa kupitia hii mbinu miaka nenda miaka rudi. Mfano Jina la mfanyakazi Carlos, account inasoma AISHA na pesa inaenda.
JAPO KWA DOGO HAPO NADHANI NI MAKOSA TU YALITOKEA, Level za chini huko sio rahisi sana kupiga kwa njia hio unayofikiri.
Hakuna bahati mbaya hapo na wala hakuna kukosea namba, kila kitu ni mpango kabambe. Kwanini? Kwa sasa ili hazina kupitia utumishi wafanye malipo ya mshahara wa mhusika, kuna vitu vitano viwepo na lazima vioane vyote sawa sawa.Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika namba ya kaunti mwenyewe Kwa kunikosea.
Zaidi japo sijaielewa hii imekaaje, anasema Mishahara yake inaonekana inaingia yaan kwenye Mfumo anaonekana mshahara unalipwa vizur, ila haupati yeye kwakua Akaunti namba sio yake.
Ofisi ya utumishi wamedai inawezekana wao ndio walikosea kuingiza namba hiyo.
Ushauri nilompa, nikuandika Barua Kwa DED akimuomba uchunguzi wa suala Hilo.
Je GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Je haya sio mambo ya Akaunti hewa Enzi za JPM??.
Je achukue hatua gan?.
Ndipo Dogo akasema ,wamuonyeshe akaunti inayopokea Hela..hapo ndipo akagundua akaunti sio yake, na utumishi wakaibadilisha hapohapo muda huohuo .
Haijui hata hiyo AKAUNTI,Kwa hapo tatizo liko kwa hao wa utumishi. Waligundua kwamba akaunti ilikosewa na tayari ishawekewa hela ya mtu mwingine, sasa kwa nini waibadilishe haraka kabla ya kuhakikisha hela inarudi? Au waliweka makusudi?
Je huyo ndugu yako anaijua hiyo akaunti iliyopokea hela? Nafikiri itamsaidia baadae kama kuna ufuatiliaji utakaofanyika.
Mkuu Dogo afanyeje Sasa ??Hakuna bahati mbaya hapo na wala hakuna kukosea namba, kila kitu ni mpango kabambe. Kwanini? Kwa sasa ili hazina kupitia utumishi wafanye malipo ya mshahara wa mhusika, kuna vitu vitano viwepo na lazima vioane vyote sawa sawa.
1. Check number
2. Majina matatu ya muajiriwa.
3. Jina la benki ambapo mshahara utaingia
4. Namba ya akaunti katika hiyo benki
5. Majina matatu ya mhusika mwenye hiyo akaunti.
Kukosewa kwa tarakimu moja au herufi moja tu kutapelekea hazina wasifanye malipo.
Mkuu za siku!!Kwanza, Ofisa Utumishi wake ni wa hovyo.
Maofisa Utumishi wanaojitambua huwa wanahakika hizo Account kuanzia tawi la Bank alipoifungua hiyo Account. Sasa kama wanaingiza tu taarifa(namba ya account) bila kufanya uhakiki ni rahisi kukosea.
Hapa mimi nawalaumu hao maofisa Utumishi, wamefanya kosa hivyo wanapaswa kuwajibika.
Ni ngumu sana mfumo hauruhusuDogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika namba ya kaunti mwenyewe Kwa kunikosea.
Zaidi japo sijaielewa hii imekaaje, anasema Mishahara yake inaonekana inaingia yaan kwenye Mfumo anaonekana mshahara unalipwa vizur, ila haupati yeye kwakua Akaunti namba sio yake.
Ofisi ya utumishi wamedai inawezekana wao ndio walikosea kuingiza namba hiyo.
Ushauri nilompa, nikuandika Barua Kwa DED akimuomba uchunguzi wa suala Hilo.
Je GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Je haya sio mambo ya Akaunti hewa Enzi za JPM??.
Je achukue hatua gan?.
Kwahiyo hapa Dogo akomae nao tu?.Ni ngumu sana mfumo hauruhusu
Afuatilie wafix hilo kosa la account number na abainishiwe hela zilikuwa zinaingia kwa account ya mtu gani.Mkuu za siku!!
Afanye nn?
Kwa uelewa wangu mdogo ukikosea namba ya account lkn jina likiwa sahihi iyo pesa aiwezi kwenda labda ukosee namba ya simu maana taharifa itaenda kwenye namba husika uliyo iwekaHata Mimi nmewaza hili, nmemuambia akomae nao tu
Binafsi, naona majibu ya maswali niliyouliza yakipatikana, kila kitu kitakuwa wazi.Mkuu , 1- alikua kupitia Mfumo wa hapo Kwa muajiri wake, maana kizaa zaa Bwana Mdogo aliwabishia.. utumishi wakawa wanamwambia Pesa amelipwa, Dogo ànasema hajalipwa, akawaambia wamuonyeshe kupitia Mfumo Mahali panapoonyesha kalipwa, Moja ya mtumishi akaingia kwenye Mfumo, kweli Salary status inaonyesha Kalipwa, na alipoingia Ndani zaidi akasoma taarifa yote ya kulipwashahara Tarehe, muda n.k.
Bado Utumishi wakaendelea kumwambia wee umelipwa.
Ndipo Dogo akasema ,wamuonyeshe akaunti inayopokea Hela..hapo ndipo akagundua akaunti sio yake, na utumishi wakaibadilisha hapohapo muda huohuo .
Maswali mengine hayo siwezi Yajua.
Ila kama ujuavyo, Ajira mpya Kila kitu hutegemea Documents za muajiriwa.
Lile genge lote limerudi mtandaoniJe GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Je haya sio mambo ya Akaunti hewa Enzi za JPM??.
Na hiyo mishahara ambayo kashaikosa??Mistake ndogo ndogo tu
Hawa jamaa ngoja tumpambanie Dogo , ni lazima wawajibishwe Kwa namna yoyote Ile.Ni uzembe wa hali ya juu. Tuseme walikosea, fine. Je, imekuaje kosa hilo limeendelea kudumu hata zaidi ya miezi 3??
Kuna ugumu gani kusitisha mshahara kuendelea kuingia kwenye akaunti iliyokosewa???
Mambo mengine yanakera na kusikitisha zaidi ya sana
Ukaona utumie mfano jina langu la Carlos au sio mkulungwa??Mkuu mifumo yetu inabadilishwa kila kukicha, hatupo Consistency.