Wakuu msimu wa kilimo umeshaanza. Twendeni shamba ili msimu wa mavuno tusiilaumu Serikali

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Mara oooh mazao yanaenda nje serikali Ipo tuu. Sasa wakuu twendeni tukalime ili tuwe pamoja na ndugu zetu wakulima watapoanza kuuza mazao Yao nje siye tujilie tu. Tuacheni mazoea tukalime. Wanangu twendeni mvomero, Usangu, Kahama na maeneo mengine tukalime mpunga tujipatie chakula Cha Bure.
 
Shamba kalime wewe inatosha. Sisi tupo kwenye Chama tunakula RUZUKU
 
Back
Top Bottom