Wakuu,my new project nmeipita miaka 9 niko sahih na hyo gape,ni kabint udsm 1st yr.

Watu wanamsaidia hivi unadhan isingekuwa pesa angempata yule mrembo,?
Mkuu hakuna mtu anaemsaidia yule mzee.had chup za yule dada zina vinasa saut mkuu
 
Hebu focus kwenye UE kwanza usije feli
 
Ukimwi umepima usije ukamuua binti wa watu bure kabla hajafikia malengo yake.
 
Upepo wako ka wangu
Hawa watoto aisee..ulivoelezea nimekusoma...hahhhaa dahh
 
umewahi kujiuliza kwanini baadhi ya wachangiaji uwa wanaomba namba ya mhusika wako ili wajue kama atakufaa?
 
Mtaani kwetu kuna mzee ana miaka kama 55 hivi. Ana watoto 9 alozaa na mama.tofauti tofauti . Huyu mzee ni mtu wa bata sana msanii wa mjini na hajasoma. Baada ya kuona umri unamtupa mkono na hajaoa akaoa mdada mmoja bat mad nae mpuuzi tu. Akisafiri dada anatrmbea mpaka na wauza urembo wanaopita nyumbani kwake.juzi mwanzoni mwa mwaka dada alitoroka nyumbani na kwenda kuishi kusikojulikana.alivyoshinfwa na maisha akarudi na kumwambia mzee.alirubuniwa na jamaa hafi akampa papuchi.kwakua.mzee ni mpuizi akamdai jamaa fidia ya pesa ili wamalizanr ati kwakuwa anatrmbea na mkewe.kuwa makini sana na under age
 
Mkuu kaswende na gono ni magonjwa ya ngozi sehemu za siri ndiyo maana uambukizwaji wake huwa wa haraka sana.
Kwahyo bacteria hao wakichekiwa kwenye damu hawaonekani?ngoja nifanye utafti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…